NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kumbuka kauli yake ya msimu uliopita alisema kwamba yanga imesajili madansa wa kikongo, badae tunakalibia kuchukua ubingwa akasema kwamba ligi ya bongo ni dhaifu sabb simba hakuwa vizuri, naona msimu huu napo anajifarijiHii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.
Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga mbele ya cameras kuwa hukumaanisha hivyo.
Boss wako Mo dewj amefungua moyo nakutuma salamu za pongezi kwa Yanga kutokana na mafanikio /hatua zilizopiga.
Bwana mdogo Ahmedy Ally jikite katika kushauri /kuunda mikakati namna gani timu yako ipige hatua na siyo kuropoka kwa hisia mwisho wa siku unaonekana ubongo wako umejaa kamasi (mweupe)
Sasa unadharaulika na mashabiki wa Simba huko south walioipokea Yanga kwa moyo mmoja na kuonesha uzalendo mkubwa.View attachment 2627258
Hana anacho kijua huyo zaidi ya kubana pua tu.Kumbuka kauli yake ya msimu uliopita alisema kwamba yanga imesajili madansa wa kikongo, badae tunakalibia kuchukua ubingwa akasema kwamba ligi ya bongo ni dhaifu sabb simba hakuwa vizuri, naona msimu huu napo anajifariji
Inasikitisha kuona haya yanasemwa na ambaye ameishia robo fainali (Mwakarobo) mara nne ambayo ni sawa na kilo moja, haya yanasemwa na ambaye aliroga kwenye kombe hili hili analolisema leo, haya yanasemwa na ambaye hata kombe la ndondo hana..!!Shirikisho ni la waliofeli yanga
Amesema ukweliHii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.
Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga mbele ya cameras kuwa hukumaanisha hivyo.
Boss wako Mo dewj amefungua moyo nakutuma salamu za pongezi kwa Yanga kutokana na mafanikio /hatua zilizopiga.
Bwana mdogo Ahmedy Ally jikite katika kushauri /kuunda mikakati namna gani timu yako ipige hatua na siyo kuropoka kwa hisia mwisho wa siku unaonekana ubongo wako umejaa kamasi (mweupe)
Sasa unadharaulika na mashabiki wa Simba huko south walioipokea Yanga kwa moyo mmoja na kuonesha uzalendo mkubwa.View attachment 2627258
Kasema ukweliHuyu dogo nilikuwa namkubali sana tangu alipokuwa Star Tv, na pia Azam Media! Ila tangu awe msemaji wa simba, naona amepoteza kabisa ule weledi wake nilio uzoea.
Nyinyi wote ni wale wale tu.Kasema ukweliView attachment 2627775
Akili Hana huyoWalishawaona washabiki wao ni MBUMBUMBU.
Kuna clip moja nilimsikia akisema kuwa wakiwa wenyewe kwa wenyewe (viongozi) wanaambizana ukweli, ila wakitoka public huku ndio huponda mafanikio ya mpinzani au kuwapa moyo washabiki kwa jambo lisilowezekana.
Unabishana na ukweli ndo maana yanga wenye Akili ni wawili tu.Nyinyi wote ni wale wale tu.
Sawa msukule wa Haji Manara.Unabishana na ukweli ndo maana yanga wenye Akili ni wawili tu.
Kama timu yake imetolewa kimataifa usibishane naeSawa msukule wa Haji Manara.