Ahmed Ally kusema Yanga imekutana na timu dhaifu kimataifa ni kudhihirisha wazi ubongo wako umejaa makamasi mbele ya mashabiki wa mpira Tanzania

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.

Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga mbele ya cameras kuwa hukumaanisha hivyo.

Boss wako Mo dewj amefungua moyo nakutuma salamu za pongezi kwa Yanga kutokana na mafanikio /hatua zilizopiga.

Bwana mdogo Ahmedy Ally jikite katika kushauri /kuunda mikakati namna gani timu yako ipige hatua na siyo kuropoka kwa hisia mwisho wa siku unaonekana ubongo wako umejaa kamasi (mweupe)

Sasa unadharaulika na mashabiki wa Simba huko south walioipokea Yanga kwa moyo mmoja na kuonesha uzalendo mkubwa.
1684475896829.jpg
 
Hii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.

Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga mbele ya cameras kuwa hukumaanisha hivyo.

Boss wako Mo dewj amefungua moyo nakutuma salamu za pongezi kwa Yanga kutokana na mafanikio /hatua zilizopiga.

Bwana mdogo Ahmedy Ally jikite katika kushauri /kuunda mikakati namna gani timu yako ipige hatua na siyo kuropoka kwa hisia mwisho wa siku unaonekana ubongo wako umejaa kamasi (mweupe)

Sasa unadharaulika na mashabiki wa Simba huko south walioipokea Yanga kwa moyo mmoja na kuonesha uzalendo mkubwa.View attachment 2627258
Kumbuka kauli yake ya msimu uliopita alisema kwamba yanga imesajili madansa wa kikongo, badae tunakalibia kuchukua ubingwa akasema kwamba ligi ya bongo ni dhaifu sabb simba hakuwa vizuri, naona msimu huu napo anajifariji
 
Hana anacho kijua huyo zaidi ya kubana pua tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Walishawaona washabiki wao ni MBUMBUMBU.
Kuna clip moja nilimsikia akisema kuwa wakiwa wenyewe kwa wenyewe (viongozi) wanaambizana ukweli, ila wakitoka public huku ndio huponda mafanikio ya mpinzani au kuwapa moyo washabiki kwa jambo lisilowezekana.
 
Kwani ni uongo? Kombe la shirikisho si ni la timu zilizofeli champions league au? (Loosers cup by Manara). Kwa maana nyingine ni sawa na umewapa mtihani mdogo wanafunzi waliofeli mtihani mkubwa halafu matokeo yake ni lazima kuwe na wa kwanza hadi wa mwisho tena kwa wale wale waliofeli. Na wa kwanza anaweza pata maksi 1 kati ya 100 na wengine wakapata 0. Hiki ndio kitu kimetokea kwa Yanga mwaka huu.
 
Hii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.

Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga mbele ya cameras kuwa hukumaanisha hivyo.

Boss wako Mo dewj amefungua moyo nakutuma salamu za pongezi kwa Yanga kutokana na mafanikio /hatua zilizopiga.

Bwana mdogo Ahmedy Ally jikite katika kushauri /kuunda mikakati namna gani timu yako ipige hatua na siyo kuropoka kwa hisia mwisho wa siku unaonekana ubongo wako umejaa kamasi (mweupe)

Sasa unadharaulika na mashabiki wa Simba huko south walioipokea Yanga kwa moyo mmoja na kuonesha uzalendo mkubwa.View attachment 2627258
Amesema ukweli
FB_IMG_16845064585441327.jpg
 
Walishawaona washabiki wao ni MBUMBUMBU.
Kuna clip moja nilimsikia akisema kuwa wakiwa wenyewe kwa wenyewe (viongozi) wanaambizana ukweli, ila wakitoka public huku ndio huponda mafanikio ya mpinzani au kuwapa moyo washabiki kwa jambo lisilowezekana.
Akili Hana huyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yuko sahihi kabisa.kuna timu mlicheza nayo wachezaji walikua na kitete ata kutuliza mpira hawawezi.Timu zingine zimebaki majina tu.Uchochoro wenu ulikua laini sana.
 
Back
Top Bottom