Ahmed Ally kusema Yanga imekutana na timu dhaifu kimataifa ni kudhihirisha wazi ubongo wako umejaa makamasi mbele ya mashabiki wa mpira Tanzania

Yuko sahihi kabisa.kuna timu mlicheza nayo wachezaji walikua na kitete ata kutuliza mpira hawawezi.Timu zingine zimebaki majina tu.Uchochoro wenu ulikua laini sana.
Ndyo walikua ni Azam na Namungo waliotukosesha ubingwa na kukututoa kombe la Azam

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la watanzania hampendi kuambiwa ukweli..
Ukweli kwamba Saido anawania tuzo ya uchezaji bora wa msimu wa NBC PL wakati hakuwahi hata kuwa mchezaji bora wa mwezi? vichekesho kabisa! Hizo asist plus goals hazikuwahi kuonekana mwezi wowote?
Hongereni naona TFF inawatia moyo katika kombe la "KUFA KIUME"
Mambo ya kimataifa tuachie wanayanga, usije kufa kiume.
 
PUMBA.
 
Wakimataifa unatudhalilisha unakandwa nyumbani ulikuwa unakutana na vibonde
 
Kama hauja wahi kucheza hilo kombe nyoosha mkono
 
Ahmed Ally alikuwa mshika ukuta pale azam... Unategemea ataongea vya maana mbele ya wanaume...
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana,nadhan umekariri kuwa chuo fulani ndipo kuna graduate wa maana kama kile chuo cha jalalan
Graduate wa madrasa ya MUM huyo rafiki yake cocastic na jirani yake katukutumeni a.k.a Popoma graduate wa SAUTI ndio maana uwezo wao ni mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…