mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Kuna timu ilikuwa mbovu msimu huu kama Horoya na Vipers?Yuko sahihi kabisa.kuna timu mlicheza nayo wachezaji walikua na kitete ata kutuliza mpira hawawezi.Timu zingine zimebaki majina tu.Uchochoro wenu ulikua laini sana.