PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
Ayo ni matokeo ya mpira lakini bado tunayo nafasi. Hakuna timu mbovu, USMA alikuwa kundi moja na marumo lakini marumo aliongoza kundi. Kwa mjibu wa stats rasmi za CAF hakuna team yoyote tuliyo i-nockout ambayo timu yenu inaizidi chochote.Wakimataifa unatudhalilisha unakandwa nyumbani ulikuwa unakutana na vibonde
Zilikua mbovu pia ila baada ya hapo simba ilipata kipimo sahihi na matokeo unayajua.Bahati nzuri kwa yanga nikwamba kipimo sahihi kimeanza kuonekana mechi ya pili kutoka mwisho.Kuna timu ilikuwa mbovu msimu huu kama Horoya na Vipers?
Lini Ally Kamwe aliisifia simba? Kweli simba haijawahi kupata mafanikio kwenye soka?Hii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.
Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga mbele ya cameras kuwa hukumaanisha hivyo.
Boss wako Mo dewj amefungua moyo nakutuma salamu za pongezi kwa Yanga kutokana na mafanikio /hatua zilizopiga.
Bwana mdogo Ahmedy Ally jikite katika kushauri /kuunda mikakati namna gani timu yako ipige hatua na siyo kuropoka kwa hisia mwisho wa siku unaonekana ubongo wako umejaa kamasi (mweupe)
Sasa unadharaulika na mashabiki wa Simba huko south walioipokea Yanga kwa moyo mmoja na kuonesha uzalendo mkubwa.View attachment 2627258
Inamaana tabia hii hata wapinzani wao wanayoWalishawaona washabiki wao ni MBUMBUMBU.
Kuna clip moja nilimsikia akisema kuwa wakiwa wenyewe kwa wenyewe (viongozi) wanaambizana ukweli, ila wakitoka public huku ndio huponda mafanikio ya mpinzani au kuwapa moyo washabiki kwa jambo lisilowezekana.
Km Ali kamwe tyuuh.Huyu dogo nilikuwa namkubali sana tangu alipokuwa Star Tv, na pia Azam Media! Ila tangu awe msemaji wa simba, naona amepoteza kabisa ule weledi wake nilio uzoea.
Hadi gallants walioshuka daraja?Ayo ni matokeo ya mpira lakini bado tunayo nafasi. Hakuna timu mbovu, USMA alikuwa kundi moja na marumo lakini marumo aliongoza kundi. Kwa mjibu wa stats rasmi za CAF hakuna team yoyote tuliyo i-nockout ambayo timu yenu inaizidi chochote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu muacheni semaji letu la CAF. kasema ukweli ulio wazi.Graduate wa madrasa ya MUM huyo rafiki yake cocastic na jirani yake katukutumeni a.k.a Popoma graduate wa SAUTI ndio maana uwezo wao ni mdogo sana.
Jikite kwenye hoja?!!Lini Ally Kamwe aliisifia simba? Kweli simba haijawahi kupata mafanikio kwenye soka?
Ina mchezaji aliefunga mabao 6 kwenye michuano ya CAF. Vipi mnae muchezaji yoyote aliewahi kufanya hivyo kwenye musimu mmoja?Hadi gallants walioshuka daraja?
We ndo ubongo wako una makamasi Tanga kacheza na under dogs kwan ni siriiiiiiiHii kauli siyo Mara ya kwanza kutamka pale unapoona Yanga inakimbilia mafanikio ya kutwaa kombe.
Nakumbuka msimu uliopita ulitamka kuwa ligi yetu ni dhaifu sana Kisha ukaja kujikanyaga kanyaga mbele ya cameras kuwa hukumaanisha hivyo.
Boss wako Mo dewj amefungua moyo nakutuma salamu za pongezi kwa Yanga kutokana na mafanikio /hatua zilizopiga.
Bwana mdogo Ahmedy Ally jikite katika kushauri /kuunda mikakati namna gani timu yako ipige hatua na siyo kuropoka kwa hisia mwisho wa siku unaonekana ubongo wako umejaa kamasi (mweupe)
Sasa unadharaulika na mashabiki wa Simba huko south walioipokea Yanga kwa moyo mmoja na kuonesha uzalendo mkubwa.View attachment 2627258
Duuuu! Unajielewa kweli wewe?Ina mchezaji aliefunga mabao 6 kwenye michuano ya CAF. Vipi mnae muchezaji yoyote aliewahi kufanya hivyo kwenye musimu mmoja?
Hayo maswali nenda kawaulize Azam na Namungo maana hao ndyo timu dhaifu walioifumua timu yako strongWe ndo ubongo wako una makamasi Tanga kacheza na under dogs kwan ni siriiiiiii
Jibu swali wala hakuna tozoDuuuu! Unajielewa kweli wewe?
Ni kama yanga tu kufungwa na IHEFUHayo maswali nenda kawaulize Azam na Namungo maana hao ndyo timu dhaifu walioifumua timu yako strong
Kuwa na timu yenye mchezaji mwenye magoli mengi caf maana yake hiyo timu ni bora kuliko simba? Leta top ten ya viwango vya ubora afrika kwa ngazi ya vilabu tuoneJibu swali wala hakuna tozo
Wewe unachobisha hapa ni Nini???Kuwa na timu yenye mchezaji mwenye magoli mengi caf maana yake hiyo timu ni bora kuliko simba? Leta top ten ya viwango vya ubora afrika kwa ngazi ya vilabu tuone
We timy yangu unaijuaa????Hayo maswali nenda kawaulize Azam na Namungo maana hao ndyo timu dhaifu walioifumua timu yako strong
Una hamahama hoja husika.Kuwa na timu yenye mchezaji mwenye magoli mengi caf maana yake hiyo timu ni bora kuliko simba? Leta top ten ya viwango vya ubora afrika kwa ngazi ya vilabu tuone
Bangi haikufai weweUna hamahama hoja husika.
YANGA inaenda kutoa mfungaji/mchezaji bora wa michuano ya CAF shirikisho bado huoni kama ni rekod kubwa ukizingatia hakuna team nyngne ktoka TZ imewahi fanya hivyo.
Pole sana. Unazani yale maoni ya taasis binafisi ya Uholanzi kwamba ligue yetu ya 5 na cmba ya 9 ndo kweli?
leta wewe source ya CAF uone kama hata top 100 humo?
Nabisha gallants sio bora kuizidi simbaWewe unachobisha hapa ni Nini???