Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
- Thread starter
- #21
Wale nguruwe mnawafuata liniVichekesho kama ilivyo Id yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale nguruwe mnawafuata liniVichekesho kama ilivyo Id yako.
HaswaaAhmed Ally ni kiungo mzuri sana kati ya timu na masbabiki, ila hajui kuisemea tim. Anapenda sana kuisemea Yanga kuliko kuisemea Simba. Wakati mwingine anadhanai inaisadia Simba kwa yeye kuikandia Yanga, lakini kwenye media tunafundishwa kuwa negative publixcity nayo ni publicitry tu, kwa hiyo muda anaotumia kuikandia Yanga huwa anaitanganza Yanga bila kujijua tu.
Mmefikia kiwango hiki cha uongo.Otherwise huyu Bwana akiwemo simba mtegemeeee vipigoo yaan kuna mechi yanga wakipanga kudrw na simba kwa maneno yake machafu waanamua kuwaadhibu hatakama walipanga drw na simba