Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
ole wao waingie kwenye mfumo, mbona watakula nyingi, otherwise wakamie"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali." Ahmedy Ally - Meneja wa Mawasiliano wa Timu ya Simba SC.
Leo anasema mpinzani wake ni Yanga na si Al Ahly tenaole wao waingie kwenye mfumo, mbona watakula nyingi, otherwise wakamie
kashapoteana yuleLeo anasema mpinzani wake ni Yanga na si Al Ahly tena
Ipeleke yanga ikakamie game na man city uone kama hawatafungwaole wao waingie kwenye mfumo, mbona watakula nyingi, otherwise wakamie
kwani kwa akili yake sisi yanga hatuitaki?"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali." Ahmedy Ally - Meneja wa Mawasiliano wa Timu ya Simba SC.
SAWA MKUU, GOODIpeleke yanga ikakamie game na man city uone kama hawatafungwa
uwezo ukiwepo utaongea tuu kama yanga Ana uwezo utaonekana tuu na atashinda huku ametawala game kama mamelord kwa alhaly
kama ni kelele tu itaonekana pia sio habari ya sijui labda wakamie sijui hii ni derby uwezo auchagui mechi. Refer Barcelona ya gurdiola na match ZA elclassico wakati huo. YANGA ashinde game kwa kutawala mchezo kwa atleast 65 percent hapa kweli simba itakuwa mbovu kama iitwavo na watu wa uto na yanga itakuwa very a good team
Anazungumzia ligi ya nyumbani mkuu.Leo anasema mpinzani wake ni Yanga na si Al Ahly tena
Unakumbuka vizuri shombo zake? Hajawahi kutenganisha nyumbani na ugeniniAnazungumzia ligi ya nyumbani mkuu.
unacheza na yanga utalalaje,kwa mfano!!!"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali." Ahmedy Ally - Meneja wa Mawasiliano wa Timu ya Simba SC.
Poyoyooo katika ubora wakeee"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali." Ahmedy Ally - Meneja wa Mawasiliano wa Timu ya Simba SC.
Azam anamfunga Simba, Yanga anamfunga Simba, wote wanamfunga nje ndani...!!!"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali." Ahmedy Ally - Meneja wa Mawasiliano wa Timu ya Simba SC.