Ahmed Ally: Mechi yetu na Yanga inatukosesha usingizi.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali." Ahmedy Ally - Meneja wa Mawasiliano wa Timu ya Simba SC.
 
ole wao waingie kwenye mfumo, mbona watakula nyingi, otherwise wakamie
 
Ipeleke yanga ikakamie game na man city uone kama hawatafungwa
uwezo ukiwepo utaongea tuu kama yanga Ana uwezo utaonekana tuu na atashinda huku ametawala game kama mamelord kwa alhaly
kama ni kelele tu itaonekana pia sio habari ya sijui labda wakamie sijui hii ni derby uwezo auchagui mechi. Refer Barcelona ya gurdiola na match ZA elclassico wakati huo. YANGA ashinde game kwa kutawala mchezo kwa atleast 65 percent hapa kweli simba itakuwa mbovu kama iitwavo na watu wa uto na yanga itakuwa very a good team
 
Waache ushirikina wataipata usingizi na kulala

Wamfukuze Kocha Objektivu wataipata usingizi na kulala

Wampe Timu Matola watapatae Usingizi

Wampange Kipa AYOUBUUUU lakraneee golini cku hiyo watalala

Boko na Miqueson, waanze ktk hiyo Mechi, watalala

Rais wa Heshima aeleze alikopeleka B20 watalala,

Waeleze Rais wa Heshima anateua bodi ya washauri kama nani!? na Katiba ipi inayompa hiyo power ya kushindwa kumteua Mzee Akilimali kuwa mjumbe kama mzee Dalali...!!! Watapata Usingizi na kulala

Pia sio kwa umuhimu lkn wapeleke Sadaka kwa Tapeli Askofu Mashimo, waliyemdhulumu Sadaka watapata Usingizi..

Mengine mengine wanayajua wenyewe kama Ndg, Rage alivyokuwa sahihi...[emoji41][emoji41][emoji41]

Watafungwa goli Chache kuanzia 3,,, lkn wahakikishe three Marogo style inatumika kwa waamuzi....hapa uhakika wa KULALA ni [emoji817]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali." Ahmedy Ally - Meneja wa Mawasiliano wa Timu ya Simba SC.
kwani kwa akili yake sisi yanga hatuitaki?
 
Ipeleke yanga ikakamie game na man city uone kama hawatafungwa
uwezo ukiwepo utaongea tuu kama yanga Ana uwezo utaonekana tuu na atashinda huku ametawala game kama mamelord kwa alhaly
kama ni kelele tu itaonekana pia sio habari ya sijui labda wakamie sijui hii ni derby uwezo auchagui mechi. Refer Barcelona ya gurdiola na match ZA elclassico wakati huo. YANGA ashinde game kwa kutawala mchezo kwa atleast 65 percent hapa kweli simba itakuwa mbovu kama iitwavo na watu wa uto na yanga itakuwa very a good team
SAWA MKUU, GOOD
 
Hapo watakuwa wanaumiza vichwa kutafuta waganga wazuri wa kuroga tu. Maana wanatambua fika kupambana na timu kama Yanga iliyokamilika ndani ya uwanja, siyo kazi nyepesi.
 
"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali." Ahmedy Ally - Meneja wa Mawasiliano wa Timu ya Simba SC.
unacheza na yanga utalalaje,kwa mfano!!!
 
"Azam hawezi kutufikia tena, mpinzani aliyebaki ni Yanga ambaye na yeye tunataka kumfunga na kumpita kwa alama sita. Ni mechi ambayo tunaitaka kweli kweli, kuanzia kwa mashabiki, benchi la ufundi, wachezaji na viongozi ndio hata hatulali." Ahmedy Ally - Meneja wa Mawasiliano wa Timu ya Simba SC.
Poyoyooo katika ubora wakeee
 
Azam anamfunga Simba, Yanga anamfunga Simba, wote wanamfunga nje ndani...!!!

Atasemaje Azamu hawezi kumfikia Simba...huyo msemaji inawezekana hapati Usingizi kutwa anshinda kwenye ulozi tu...

Kwa UKUTA ule...Bora Babu Onyango....[emoji16][emoji16][emoji1787]

Back
Top Bottom