Ahmed Ally, Msemaji wa Simba, Mungu anakuona!

Ahmed Ally, Msemaji wa Simba, Mungu anakuona!

Kubwa jinga la First leg ni timu ambayo haina medals yoyote ya CAF, kwenye orodha hiyo timu zote zina medals kasoro iliyopigwa
View attachment 2949837
Ficha ujinga wako hapa chini picha ya pili ni watu waliopata matokeo haya leo kati ya hizo timu ngapi ziko hatua iliyofata?

Picha ya kwanza na nyie mlikua ma tunyenye mliopokea kipigo kitakatifu...
Screenshot_20240304-165546_Instagram.jpg
Screenshot_20240303-140251_Instagram.jpg
 
Kazi yake ni kuhamasisha, na kusema kweli jamaa anajua kuhamasisha.

Angalia mechi yetu, pamoja na kwamba tuliweka kiingilio, lakini uwanja ulitapika Kwa kujaza mashabiki elfu 47 plus

Wenzetu pamoja na kutoweka kiingilio, yaani Wazee wa bure bure lakini hawakuweza kufikisha Idadi ya mashabiki wetu 🤗
 
Kazi yake ni kuhamasisha, na kusema kweli jamaa anajua kuhamasisha.

Angalia mechi yetu, pamoja na kwamba tuliweka kiingilio, lakini uwanja ulitapika Kwa kujaza mashabiki elfu 47 plus

Wenzetu pamoja na kutoweka kiingilio, yaani Wazee wa bure bure lakini hawakuweza kufikisha Idadi ya mashabiki wetu 🤗
Nasikia walijaa ambao ilikua ndoto yao kwenda benjamin mkapa..na sio wenye timu...hahahha
 
Mashine ya maneno hiyo .Ahmed mitano tenaaa.
 
Kuwa Msemaji wa timu, tena kubwa kama Simba au Yanga, si lazima uwe unamwaga porojo na ndoto ambazo si rahisi kutimizika.

Kabla ya mechi ya Al Ahly Benjamin Mkapa, Ahmed Ally aliwaaminisha washabiki na wanachama wa Simba kuwa Ahly anakufa kifo kibaya na HATOKI BENJAMIN MKAPA.

Baada ya kupigwa kimoja cha dakika ya 5, Ahmed Ally sasa amekuja na SIMBA, TIMU YA MAAJABU.Amedai kuwa Simba itaenda kufanya maajabu kule Cairo, Misri. Eti, imeshawahi kufanya maajabu makubwa huko nyuma.

Hadi sasa, Simba ndiye pekee aliyefungwa kwenye awamu ya kwanza ya robo fainali ya ACCL. Tena amepigwa nyumbani...akashindwa hata kutumia mwiko au jengo kujilinda. Washindi wenzake wengine wa pili, akiwemo Yanga, wamepata suluhu nyumbani kwao.

Ahmed Ally, Mungu anakuona. Endelea tu kuwajaza upepo mashabiki na wanachama wa Simba. Ila tambua kuwa Yanga inatinga nusu fainali kwa mechi ya ugenini kwa Madiba...sare yoyote ya magoli inaivusha Yanga...timu ya wananchi!
Watu kama huyo msemaji wanakuwepo kwa sababu kuna maelfu ya wajinga kama wewe ambao mnawafanya wastawi. Kitu gani msichojua kuhusu hizi timu za Yanga na Simba? Hizi timu typically zinaendeshwa kwa kutumia culture ya watu wa Pwani ambayo ni kufanya kazi kwa kutumia mdomo. Miaka nenda miaka rudi mnadanganyika kupoteza muda wenu kwa mambo ya kijinga kama hizi porojo.
 
Nawashangaa mnaohamasika kwa maneno ya vitu vinatokea uwanjani na kila mtu anaijua timu yake.

Huo ni ukosefu wa akili kuwa na imani kwa sababu mtu anasema mnaenda kuifunga timu fulani.

Wengine sisi hatuendeshwi kwa maneno maneno.
 
Nashangaa nguvu zinatumika sana kumfatalia sana Ahmed..yani mtu mmoja ambae ameamua kusimama na anachokiamini ww mwingine unateseka nini kama hutaki kuamini si uachane nae kwani inakuharibia nini...
 
Msimuharibie kijana mkate wake wa kila siku,yeye siyo Kocha.....hamasa zake na maneno yake ni kwenda kujaza uwanja.........Benchi la ufundi ni kiwanjani kumlaumu ahamed kwa matokeo ni zaidi ya umbumbumbu aliousema Rage
Mtoa mada ni UTO, na huko UTO wenye akili ni wawili tu kwahiyo msimshangae hayumo kwenye wale wawili
 
Ukiona tu simba imefungwa, basi chanzo kikuu ni Ahmed Ally na Mwenyekiti Mangungu. Haya malalamiko hata shabiki mwenzangu @Kalpana anayafahamu.
Bila shaka wao watakuwa wanacheza au kupanga kikosi.
 
Wewe kama wakili mteja akija huwa unamuambiaje? Alikuuliza uwezekano wa kushinda. "KWA kweli KWA hii kesi yako,tuombe Mungu
 
Utopoloni wenye akili ni wawili tu ambao ni Mzee Kikwete na Mzee sande Manara . Kwahiyo mleta mada hatuwezi kukushangaa Maana ndiyo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia
 
Ficha ujinga wako hapa chini picha ya pili ni watu waliopata matokeo haya leo kati ya hizo timu ngapi ziko hatua iliyofata?

Picha ya kwanza na nyie mlikua ma tunyenye mliopokea kipigo kitakatifu...
View attachment 2949969View attachment 2949967
😂😂😂Mbona unahasira mkuu,then hawa wote kwenye nchi zao ndiyo mabingwa kasoro Simba,nimekuongezea fact nyingine
IMG-20240331-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom