Ahmed Ally ni mjukuu wa Kinjekitile?

umaskini uliopo yanga ni mkubwa kwa mashibiki kuliko simba
Yanga waliweza kuichangia timu Yao kipindi hakuna wafadhili kwa njia ya bakuli. Viongozi wa Yanga wanalijua hilo, ndio maana Sasa hivi hawaoni sababu kwanini wasiwasaidie mashabiki kipindi Yanga Ina neema. Timu Ina wadhamini wengi na fedha nyingi.
 
Yanga Haina Cha kupoteza kwenye mechi hii. Walisajili kikosi Cha kufika makundi TU, Huku walikofika hatuwadai kitu hata wakipoteza. Hii ni tofauti na Simba.
Cowards

Tutawacheka hivyo hivyo

Itokee tu mmeshinda au kupata sare ndio itakua pona yenu
 
Kwenye Bold ni vyote viwili
 
Shida itakuwepo haiwezi kukosekana

Yani ufungwe afu iwe kawaida kama hakuna chochote kilichotokea?

Uliona wapi?
Sisi sio level ya Mamelodi sasa tukifungwa kuna ajabu gani? by the way malengo yetu ilikua makundi huku tulipo ni bonus nyie ndio mntakiwa kupambana si hua mnajiita Giant kwa Mkapa hatoki mtu
 
Aaahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…