Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga waliweza kuichangia timu Yao kipindi hakuna wafadhili kwa njia ya bakuli. Viongozi wa Yanga wanalijua hilo, ndio maana Sasa hivi hawaoni sababu kwanini wasiwasaidie mashabiki kipindi Yanga Ina neema. Timu Ina wadhamini wengi na fedha nyingi.umaskini uliopo yanga ni mkubwa kwa mashibiki kuliko simba
CowardsYanga Haina Cha kupoteza kwenye mechi hii. Walisajili kikosi Cha kufika makundi TU, Huku walikofika hatuwadai kitu hata wakipoteza. Hii ni tofauti na Simba.
Tafuta mwenyewe..kikubwa tumeshacheza nao...Kwenye mashindano gani?
Hizi ni hasira sasa.Hebu mtupishe kwani hao alhaly tuliowafunga tulikua na timu gani? Au tuliotoka nao droo tulikua na ttimuipi..
Kwenye Bold ni vyote viwiliKinjekitile aliwaaminisha watu wake risasi za askari wa kijerumani zitageuka maji kwenye vita Ile ya majimaji. Hii iliwafanya watu wengi kujiunga na vita Ile, lakini kusema Kweli Kinjekitile aliwadamganya wenzake wakafa wengi sana.
Ahmed Ally anajua kuwa watanzania wenzake ni maskini sana lakini aliwaaminisha kuwa kulipiwa viingolio na kutazama mechi bure ni haramu. Watu hao maskini wakamuamini na kutumia vijisenti vyao vya kukopa kwenda kuujaza uwanja.
Ahmed Ally anafahamu kuwa Al-ahly ni timu kubwa na ngumu lakini anawaaminisha kuwa watawafunga goli 3 kama wamesimama vile.
Ahmed Ally anafahamu kuwa timu ya Simba imesajili vibaya lakini anawaaminisha watu wake kuwa ni usajili Bomba sana.
Ahmed Ally anajua kuwa Simba Ina uwekezaji na uongozi mbovu lakini anawaamisha watu wote kuwa Simba hakuna tatizo na watu wanamwamini.
Huu ni weledi wa Ahmed Ally au ujinga wa wanasimba?
HahahahahahqTafuta mwenyewe..kikubwa tumeshacheza nao...
Sisi sio level ya Mamelodi sasa tukifungwa kuna ajabu gani? by the way malengo yetu ilikua makundi huku tulipo ni bonus nyie ndio mntakiwa kupambana si hua mnajiita Giant kwa Mkapa hatoki mtuShida itakuwepo haiwezi kukosekana
Yani ufungwe afu iwe kawaida kama hakuna chochote kilichotokea?
Uliona wapi?
AaahaaSisi: Andaeni Timu yenu
Wao: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yanga Kapangiwa Mamelodi
Sisi: Jamani andaeni Timu Yenu
Wao: ubuthu-botho
Sisi: Jamani angalieni
Wao:Yanga Wamepangiwa Mamelodi
Sisi: Andaeni Timu yenu
Wao: Sisi tunawamudu hawa tushacheza nao Sana.
Sisi: Haya Bhana.[emoji23][emoji23]
Akafanya nini baada ya kuwepo?Atakuwepo
View attachment 2948881
Watu Aliende Aliende, Hakufurukata mbele ya Mkude na Bacca.Atakuwepo
View attachment 2948881