mambooTatizo hata wakibaki peke yao kutwa kuishia robo fainali
Hizo robo robo za Simba ndo zilisababasha Taifa liwe linapeleka timu 4 Kimataifa mapema kabisa. Uwe na shukrani kwa Simba.Tatizo hata wakibaki peke yao kutwa kuishia robo fainali
Hizo robo robo za Simba ndo zilisababasha Taifa liwe linapeleka timu 4 Kimataifa mapema kabisa. Uwe na shukrani kwa Simba.
Kipindi wanaenda kupokea wageni earpot na kuongea liveMimi ni shabiki wa Simba, ila hayo maoni kwangu naona siyo ya kiungwana. Yamejaa ubinafsi. Ubinafsi ndio unaotufanya Waafrika wengi tuendelee kuwa maskini wa fikra na mali. Ubinafsi si jambo jema