Ahmed Ally: Ninachotamani wote watolewe, tubaki peke yetu

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Mwamba kabisa Semaji la Simba linatamani timu zote zitolewe isipokuwa Simba kwenye michuano ya kimataifa halafu wabaki Simba Peke yao, Timu anazotamani zitolewe ni Yanga, Azam na Singida Black Stars.

Neno moja Kwa semaji.
Your browser is not able to display this video.
 
Tatizo hata wakibaki peke yao kutwa kuishia robo fainali
 
Kama timu zote nne zikitolewa kama anavyotamani basi hata yeye hata kuwepo
 
Watolewe Yanga tu, hata kama wengine wabaki ili utulivu uwepo mjini.
 
Mimi ni shabiki wa Simba, ila hayo maoni kwangu naona siyo ya kiungwana. Yamejaa ubinafsi. Ubinafsi ndio unaotufanya Waafrika wengi tuendelee kuwa maskini wa fikra na mali. Ubinafsi si jambo jema
 
Kuna watu mlivyo mbumbumbu mnashangilia kana kwamba Yanga imetolewa vile! Kumbe imefungwa ugenini goli 1-0, na ambapo na wenyewe wanaweza kushinda zaidi ya goli moja kwenye mechi ya marudio.
 
Mimi ni shabiki wa Simba, ila hayo maoni kwangu naona siyo ya kiungwana. Yamejaa ubinafsi. Ubinafsi ndio unaotufanya Waafrika wengi tuendelee kuwa maskini wa fikra na mali. Ubinafsi si jambo jema
Kipindi wanaenda kupokea wageni earpot na kuongea live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…