Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kusema ukweli uongeaji wa semaji unavutia sana hasa anavyokazia maneno na ile tone yake pamoja na maneno na vikorombwezo kibao anavyomix wakati wa uongeaji.
Na kinachochekesha zaidi na kufurahisha ni ule u seriousness wake wakati anaongea.
Hakika semaji tunakukubali.
Na kinachochekesha zaidi na kufurahisha ni ule u seriousness wake wakati anaongea.
Hakika semaji tunakukubali.