Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Jamaa huwa anaongea pumba kweli; hana mpangilio wa maneno zaid ya kupandisha na kushusa sauti kwa majigambo tu. Nadhani aachane na usemaji ajikite kwete kuuza magari tu kwani kazi hiyo anaifanya kwa ufanisi mzuri zaidi.Kusema ukweli uongeaji wa semaji unavutia sana hasa anavyokazia maneno na ile tone yake pamoja na maneno na vikorombwezo kibao anavyomix wakati wa uongeaji.
Na kinachochekesha zaidi na kufurahisha ni ule u seriousness wake wakati anaongea.
Hakika semaji tunakukubali.