Ahmed Ally Shughuli siyo yake ila kaivalia Kijora

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.

Inashangaza kumuona Ikulu mtu ambaye amekuwa akiponda mafanikio ya Yanga.

Ikumbukwe kilichowakutanisha wadau wa michezo hapo Ikulu ni Young Africans, sasa ajabu ni kwamba wapo watu ambao wamekuwa hawayafurahii mafanikio ya klabu pendwa Afrika Mashariki na Kati Young Africans.

Je, Ahmed Ally anayasaliti maneno yake kwa kusema "Wanaume wote wa Iringa ni Malaya" Ajabu ni kwamba Mwanaume kutoka Iringa anamuoa dada yake Ahmed Ally na yeye amekuwa wa Kwanza kuvaa kijora na kusherehekea uwepo wa Shemeji yake kutoka Iringa. Hii ina maana gani?Je, kawakubali wanaume wa Iringa au ameelewa shoo za watu wa Iringa au dada yake alimsimulia utamu wa wanaume wa Iringa?



ONYO & TAHADHARI:

Njoo kwa Tahadhari!.
 
Unasahau kuwa anapokea mshahara pia kwa hiyo kazi. Yaani utamsema wee, utamwita majina wee, misuli itakutoka weee ila yeye ndo ana mshahara na ikulu kaenda.
 
Nimependa Onyo[emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…