Ahmed Ally Shughuli siyo yake ila kaivalia Kijora

Mleta mada Acha Fikra za kizamani mpira ni furaha mpira ni umoja mpira ni ajira mpira unatuleta pamoja bila kujali imani zetu siasa na makabila huyo aliyekuja hapo ni msemaji wa club ya simba kaalikwa ni sisi huku mashabiki tunabishana hadi kuchukiana ila wenzetu wakitoka mbele ya media wanakaa sehemu wanafurahia maisha pamojaa
 
Unajua siku zote mtu anayekupinga ndio anayekufanya upambane kuliko yule anaekutia moyo wakati wote huenda maneno ya Ahmed Ally yamefanya wachezaji wetu wakaze kwahiyo sijaona ubaya kuwepo pale ni mashabiki wasiojielewa ndio watalaumu mpira sio uadui
 
naona isue ya fei mama kawashika patamu sana yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujui kuwa huwezi enda ikulu bila mualiko mkuu,acha hizo basi mbona unaniabisha boss?kila unayemuona humo kaalikwa..kwa kifupi kuna kina poppat wa zama humo,kina mangungu kina try again yaani kila raia kaalikwa humo
 
Hilo ONYO lako hapo mwishoni hatuliogopi. Yaani unaleta upumbavu jukwaani halafu unaweka kipengele cha kujilinda?

Issue iko hivi we kilaza: Ikulu mtu huwa hajipeleki tu. Unaowaona pale wote wamealikwa, na nidhamu ni kwamba ukialikwa na Ikulu ni 'muhimu' uhudhurie.

Yaani ni sawa na Ushauri aliotoa Mhe.Rais kuhusu suala la Yanga vs Fei Toto. Hiyo tayari ni 'amri' kama hujui, na kwa kuwa viongozi wako wanaelewa hutowaona wameshupaza shingo kuhusu jambo hilo.
 
Mtu mkubwa huyo Ikulu inamtambua kwa mwaliko wa heshima
 
Unasahau kuwa anapokea mshahara pia kwa hiyo kazi. Yaani utamsema wee, utamwita majina wee, misuli itakutoka weee ila yeye ndo ana mshahara na ikulu kaenda.
Ikulu kaenda kufanya nini?
 
Kumbe akili yako kisoda hivi? Yupo pia try again, mangungu, ceo wa simba imani na baadhi ya wajumbe wengine wa bodi. Jambo la serijali halina uadui.
Hilo ni jambo la nchi,Yanga ni klabu ya nchi
 
Kheee aisee [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Nilitahadharisha mapema na nikatoa ONYO,sitaki visebusebu,virohopapo na visebengo!,Tuheshimiane tafadhali!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…