mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
TFF hawatupendi.hauwez kuyasikia sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua siku zote mtu anayekupinga ndio anayekufanya upambane kuliko yule anaekutia moyo wakati wote huenda maneno ya Ahmed Ally yamefanya wachezaji wetu wakaze kwahiyo sijaona ubaya kuwepo pale ni mashabiki wasiojielewa ndio watalaumu mpira sio uaduiNsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Inashangaza kumuona Ikulu mtu ambaye amekuwa akiponda mafanikio ya Yanga.
Ikumbukwe kilichowakutanisha wadau wa michezo hapo Ikulu ni Young Africans, sasa ajabu ni kwamba wapo watu ambao wamekuwa hawayafurahii mafanikio ya klabu pendwa Afrika Mashariki na Kati Young Africans.
Je, Ahmed Ally anayasaliti maneno yake kwa kusema "Wanaume wote wa Iringa ni Malaya" Ajabu ni kwamba Mwanaume kutoka Iringa anamuoa dada yake Ahmed Ally na yeye amekuwa wa Kwanza kuvaa kijora na kusherehekea uwepo wa Shemeji yake kutoka Iringa. Hii ina maana gani?Je, kawakubali wanaume wa Iringa au ameelewa shoo za watu wa Iringa au dada yake alimsimulia utamu wa wanaume wa Iringa?
ONYO: Njoo kwa tahadhari.
Naona mkuu umu anataka soka liwe uadui.Mbona hata kwenye sherehe za serikali inayoongozwa na chama tawala hua wapinzani wanaalikwa na wanaenda? Mpira sio uadui kama ilivyo siasa pia sio uadui.
Kabisa mkuuKumbe akili yako kisoda hivi? Yupo pia try again, mangungu, ceo wa simba imani na baadhi ya wajumbe wengine wa bodi. Jambo la serijali halina uadui.
Hilo ONYO lako hapo mwishoni hatuliogopi. Yaani unaleta upumbavu jukwaani halafu unaweka kipengele cha kujilinda?Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Inashangaza kumuona Ikulu mtu ambaye amekuwa akiponda mafanikio ya Yanga.
Ikumbukwe kilichowakutanisha wadau wa michezo hapo Ikulu ni Young Africans, sasa ajabu ni kwamba wapo watu ambao wamekuwa hawayafurahii mafanikio ya klabu pendwa Afrika Mashariki na Kati Young Africans.
Je, Ahmed Ally anayasaliti maneno yake kwa kusema "Wanaume wote wa Iringa ni Malaya" Ajabu ni kwamba Mwanaume kutoka Iringa anamuoa dada yake Ahmed Ally na yeye amekuwa wa Kwanza kuvaa kijora na kusherehekea uwepo wa Shemeji yake kutoka Iringa. Hii ina maana gani?Je, kawakubali wanaume wa Iringa au ameelewa shoo za watu wa Iringa au dada yake alimsimulia utamu wa wanaume wa Iringa?
ONYO: Njoo kwa tahadhari.
Kheee aisee [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Wewe ni malaya,Tangu lini malaya akawa na akili ya kuelewa mambo?
Kapata mwaliko kama anavyopata mshahara.Ikulu kaenda kufanya nini?