Ahmed Ally Shughuli siyo yake ila kaivalia Kijora

Sema kapata mualiko kwasababu ya Yanga,kwani ukisema hivyo utapungukiwa na nini?
Hilo jibu ulikuwa nalo wewe kichwani. Sherehe ni kwa ajili ya Yanga ila yeye kapata mwaliko sababu analipwa mshahara na Simba na ni msemaji wake.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.

Inashangaza kumuona Ikulu mtu ambaye amekuwa akiponda mafanikio ya Yanga.

Ikumbukwe kilichowakutanisha wadau wa michezo hapo Ikulu ni Young Africans, sasa ajabu ni kwamba wapo watu ambao wamekuwa hawayafurahii mafanikio ya klabu pendwa Afrika Mashariki na Kati Young Africans.

Je, Ahmed Ally anayasaliti maneno yake kwa kusema "Wanaume wote wa Iringa ni Malaya" Ajabu ni kwamba Mwanaume kutoka Iringa anamuoa dada yake Ahmed Ally na yeye amekuwa wa Kwanza kuvaa kijora na kusherehekea uwepo wa Shemeji yake kutoka Iringa. Hii ina maana gani?Je, kawakubali wanaume wa Iringa au ameelewa shoo za watu wa Iringa au dada yake alimsimulia utamu wa wanaume wa Iringa?

ONYO: Njoo kwa tahadhari.
Wewe hujui mambo ya nje ndani ya simba na yanga. Nyie vibanda umiza na kitaa shupazeni shingo tu na ushabiki maandazi wenu hadi mnavunjiana heshima wenzenu wanagonga glass [emoji1635] in darkness
 
Kitu nilichogundua hizi team hazina shida, ila shida ipo kwa mashabiki. Hao ni watani wa jadi na sio maadui au Wana uhasama. Maneno ya Ahmed akikashifu Yanga au Alikamwe kukashifu Simba mashabiki mnayabeba kama Vita kumbe hakuna
 
Nature ya binadamu ,akisifiwa sana anakua anajiona kama ana akili nyingi kuliko wengine.
NB: Mawazo yangu yasiomlenga yoyote.
 
Acha ngonjera mtoto wa kiume,nimesifiwa sana ndiyo kwasababu nilikuwa nahitaji sifa hizo.

Hivi kwa akili yako unadhani naishi kwasababu ya JF?,yaaani umekaa unaanza kudhani Umughaka Bila JF siishi,wewe ni mjinga kuliko unavyodhani.

Mimi mpaka muda huu namiliki pesa ambayo sidhani kama utakuja kuikamata,simulizi zangu ulizowahi kusoma hapa ndiyo mwisho usije kudhani nitakuja tena kusimulia watu wajinga kama wewe mkainjoi bure simulizi zangu.

Wewe ni mjinga rudi shule upate ufahamu na uelewa!
 
Sema kimeumama...
 
Mkuu hilo jamaa ni tahira la karne
 
Wewe ni malaya wa Mpira,ndicho nilichomaanisha!.

Siyo malaya wa wanaume ila ni malaya wa mpira kwasababu hoja zako katika uchangiaji zinadhihirisha hilo!.
Najua unaandika kwa jazba..ukweli unaujua mimi sio malaya tata muraa...
 
Mambo imechemka huko ushaitwa jina fulani
Nimeliona ndugu..mimi sio malaya na yy analijua hilo kwa sbb hanifahamu..so nina uhakika ni jazba tuu..mwana Yanga kumuita mwana Simba jina analoona linampendeza sio jambo la kushangaza.
 
Hilo jibu ulikuwa nalo wewe kichwani. Sherehe ni kwa ajili ya Yanga ila yeye kapata mwaliko sababu analipwa mshahara na Simba na ni msemaji wake.
Kiukweli mkuu sikuelewi
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Wewe ni malaya wa Mpira,ndicho nilichomaanisha!.

Siyo malaya wa wanaume ila ni malaya wa mpira kwasababu hoja zako katika uchangiaji zinadhihirisha hilo!.
Kumbeee mpk kwenye mpira kuna umalaya...so kuna malaya wa kiume pia?? Ila ww una mihemuko sana..unaweza ua mtu live..
Mimi hoja zangu zinaweza zikakushinda ww mwanaume wa kikurya by far...
 
Wewe ni
Nimeliona ndugu..mimi sio malaya na yy analijua hilo kwa sbb hanifahamu..so nina uhakika ni jazba tuu..mwana Yanga kumuita mwana Simba jina analoona linampendeza sio jambo la kushangaza.
Wewe ni Malaya wa mpira,Hujui chochote kuhusu,hujui hata kanuni moja ya CAF ila unashadadia mambo kisa wewe ni mnazi wa KIKOLO,Mimi siangalii,ukiwa Kolo nitakutandika Spana hadi ukome!.
 
Kanuni kama zipi malaya mwenzangu...maana hata ww unaandika tuu na sijaona kanuni hapo ulizoandika...
Kumbe shida ni ukolo haya utopolo niambie kanuni gani unataka nikushushie
 
Kumbeee mpk kwenye mpira kuna umalaya...so kuna malaya wa kiume pia?? Ila ww una mihemuko sana..unaweza ua mtu live..
Mimi hoja zangu zinaweza zikakushinda ww mwanaume wa kikurya by far...
Ok lete hoja zako hapa hizo tuone!,Hakika ukileta hoja zako hapa nikashindwa kuzijibu nafuta App ya JF na sitotumia tena.

Nilifeli form 6 ila kumbuka form 4 nilipata divesheni 2 kwa combi ya PCB,Hivyo ukinishinda akili ya darasani nitatumia akili za kiganga kukuchachafya😂😂
 
Kanuni kama zipi malaya mwenzangu...maana hata ww unaandika tuu na sijaona kanuni hapo ulizoandika...
Kumbe shida ni ukolo haya utopolo niambie kanuni gani unataka nikushushie
Soma mada hapo juu na kama usiporidhika uje na hoja malaya wa mpira wewe siyo kupayuka tu kikolo!
 
Back
Top Bottom