DUHAHMED ALLY RUDI SHULE UKAFUTE UJINGA
Anasema wamebakiza mechi 3 wakati bado mechi 4.
Ligi yetu timu ziko 16, inamaana kila timu inatakiwa icheze jumla ya mechi 30. Ukiangalia kwenye msimamo wa ligi Simba ameshacheza mechi 26, inamaana amebakiza mechi 4 na sio 3 kama anavyosema msemaji wa Simba Ahmed Ally.
View attachment 2988918
View attachment 2988912
View attachment 2988913
Hiyo error ndio ya kuanzishia uzi?AHMED ALLY RUDI SHULE UKAFUTE UJINGA
Anasema wamebakiza mechi 3 wakati bado mechi 4.
Hiyo error ndio ya kuanzishia uzi?