Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

Siri gani nawakati enginer alifanya press conference akaongea wazi wazi kwamba wanaomba msaada kwa mashabiki wanaoenda south afrika
Acha uongo na upotoshaji

Jenga hoja bila kutumia uongo na upotoshaji
Alieleza watakayokirimiwa (in details)au aliongea kiujumlajumla ili kudanganya watu sampuli yako mwanaharamu apite?
 
  1. Football,Soka,kabumbu,mpira wa miguu ni ajira kubwa sana,
  2. Football ni biashara yenye mtandao mkubwa
  3. Football inaleta utulivu,amani,furaha na kiburudisho
  4. Football ni lugha wanayo ongea watu wa makabila yote duniani bila kujali rangi,umri,itikadi,mila na desturi
  5. Football inaongeza pato la Taifa lolote yaani ni moja ya chanzo cha kodi za serikali
  6. ..Football.......
 
Ebu kwanza Tenganisha alipoishia msemaji nayalipoanzia maoni yako.
 
Kwa hiyo hata kura zetu hawazitaki tena?

Wana simba kazi kwetu uchaguzi ujao...
Wacha wapigiwe kura na wana Utopolo tu dadeki!
 
Ki uhalisia hakupaswa kuongea hata kma mawazo yake ni mazuri ila pia Serikali ielekeze nguvu kwenye project za michezo ambako huko hali si nzuri hasa mashuleni huku kwa hivi vilabu mi naona ni kama wanataka sifa za kisiasa

Ahmed ally wakati yupo Azam
Was very professional guy , nilikuwa namtazamia sehemu kama BBC , but tangu aende SSC , amepotea kabisa.

Waajiri wakubwa wote wanaajiri kwa kufuatilia social records za watu , now he does not look smart anyhow; he looks dumb and stupid kama ilivyo kwa ally kamwe .

Wanajitia uchizi bila ya kujua kuwa ni vijana wana long career path . Mm kwangu Usemaji wa SSC na Yanga sioni Kama ni ajira Rasmi.

Wanatakiwa ku maintain status zao maana kuna leo na Kesho.

Pia kwenye miiko ya habari, kuna vitu vingine unaweza kupenyeza hata kwa Ac fake na sio kwa official Account yako….. manaa amesha ruin reputation yake.

Maana unahoji uhalali wa serikali, ni sawa but you can’t use your officiai page , ndio maana nasema the guy is dumb now

Very soon mtaona matokeo ya kauli yake, ndio mjue vijana huwa wanapapara na wanajifelisha wenyewe. Vijana ni impatient and mindless
 
Aisee sikuwahi kufikiria kama serikali yetu ina watu majuha wa kiwango hiki.

Aisee sikuwahi kufikiria kama serikali yetu ina watu majuha wa kiwango hiki.
Unadhani ni sawa kwa serikali kugharamia nauli kwa mashabiki wa club ambao kimsingi huwa wanatoa ada za uanachama na kuchanga michango mbalimbali kwa team Yao!?
Nadhani team husika ingeweza kuwasafirisha mashabiki wake kwenda na kurudi kama ilikuwa na uhitaji huo kama sehem ya fun engagement sio serikali
Hili tumelisoma hata kwenye civics ya form three cause of poverty ni bad allocation of government fund and resources
 
Bora angekaa kimya ili aone Serikali itachukua hatua gani dhidi ya Simba maana kimashindano wote wapo lever sawa na wote wanasafiri kwenda ugenini.
 
Amekosea tusimpe majina mabaya sana mkuu pengine hata na yeye alipenda kufika huko bbc ila sio rahisi namna hiyo
Simba na Yanga sio taasisi ndogo kuzifanyia kazi ki ukweli kwa hiyo tuheshimu bidii zake Kila mtu hasa si wanaume kwenye mapambano ya kutafuta riziki Kuna saa tunakosea
Wangapi wamekosea na Leo hii wako on top maisha ni fumbo huenda hii kauli yake ya hovyo ikawa sababu ya kubadili mambo huko juu
 
Ila Tanzania basi tu, hata suala la kutoa pesa kwa kila goli kwa nchi maskini kama hii ni jambo la aibu
 
Atasingizia amedukuliwa.
 
Hwenda serikali imeona Yanga ndiyo timu pekee inayoonesha matumaini ya kusonga mbele na kuitangaza vizuri nchi kutokana na kuonesha kandanda safi so ikaona iiongezee hamasa kwa mtindo huo kwani Simba imeitia aibu nchi kwa kufungwa nyumbani hivyo kuonesha uelekeo wa kufeli tena. Zingatia kwamba ndiyo timu pekee kati ya 8 ndiyo iliyopoteza game kwenye raundi ya kwanza robo fainali tena nyumbani.
So kwa mantiki hiyo, serikali imeona itoe sapoti kwa Yanga ili Simba iwaume.
 
kwani hao waliopigwa mabomu ni mashabiki wa yanga tu?
 
Ikishafika hatua ya kuumiza sio starehe Tena hiyo. Watu wanashindwa tofautisha burudani (viburudisho) na starehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…