Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

View attachment 2952641
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri

Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000.

Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu Nusu Fainali, Ila msimamo wangu ni kwamba si jambo jema hata kidogo.

Kwa Mashabiki mpira ni starehe hivyo Serikali haiwezi kugharamia watu kwenda kustarehe.

Tena bora ingekua imetoa usafiri tu. Lakini wametoa Posho Dola 500 kila kichwa sawa na Milioni 1,200,000 kwa ufupi hawa Mashabiki wamenuniliwa na wanalipwa kuishangilia timu yao.

Na hao sio Mashabiki wa kawaida ni Machawa wanaotetea maslahi ya viongozi wao yaani Serikali imelipia Machawa wa watu.

Kuwalipia nauli sio kuwapenda ni kufuga tatizo ambalo baadae hatutaweza kulitatua.

Leo unalipia mashabiki wa klabu, kesho Ali Kiba ataiomba Serikali iwagharamie mashabiki wake kwenda Marekani kufanya show utamnyima?

Twaha Kiduku ataomba aende kupigana Uingereza na mashabiki wake utamnyima??

Halafu nyie Nyuma Mwiko acheni kuzuga huwezi kulipia nauli watu 48 ukajidai eti unawapenda mashabiki zenu, Wakati kwenye mechi yenu juzi Mashabiki wameumia, wamepigwa mabomu ya machozi, watu wamepata vilema, na hamjasema chochote halafu uje uzuge eti unawapenda watu wenu.

Ndugu zangu wana Simba hili swala lisiwatie unyonge na wala Serikali yetu haina nia ya kufanya ubaguzi.

Sisi tuendelee na utamaduni wetu kujisimamia tukipata msaada tutachukua lakini katu tusilemae kusubiri dezo.

We are Simba Sisi ni Wakubwa, Sisi ni Wafalme, Sisi tuna hadhi kubwa

Lets focus na mechi yetu ya Ijumaa.
Kashitakini FIFA kuwa serikali inaingilia michezo.
 
Yanga inastahili motivation zaidi ya hizi, siyo siri Yanga ndiyo timu inayolibeba Taifa kwa sasa ukiachana na Timu ya Simba inayotutia aibu kila siku.
 
Tuseme mfano serikali ingetaka kulipia mashabiki wa simba,ina maana angekataa?
 
Mpira sio starehe. Starehe haina maumivu
Starehe gani isiyo na maumivu kiongozi.... Hata Bangi ukivuta kupitia kiasi Ina maumivu, ukinyanduana kupita kiwango maumivu yapo tu .. ukinywa pombe kupitiliza maumivu yapo tu ..... Juzi kati tu hapa timu ya netball imekosa nauli ..na Serikali ipo...Biashara walishindwa kusafirisha timu kwenda Libya Serikali olikuwapo tu ... Mimi Yanga ila hii sio sawa.
 
Mwana FA aje kutoa maelezo ,anapewa madaraka analeta upendeleo kwa vyura
 
View attachment 2952641
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri

Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000.

Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu Nusu Fainali, Ila msimamo wangu ni kwamba si jambo jema hata kidogo.

Kwa Mashabiki mpira ni starehe hivyo Serikali haiwezi kugharamia watu kwenda kustarehe.

Tena bora ingekua imetoa usafiri tu. Lakini wametoa Posho Dola 500 kila kichwa sawa na Milioni 1,200,000 kwa ufupi hawa Mashabiki wamenuniliwa na wanalipwa kuishangilia timu yao.

Na hao sio Mashabiki wa kawaida ni Machawa wanaotetea maslahi ya viongozi wao yaani Serikali imelipia Machawa wa watu.

Kuwalipia nauli sio kuwapenda ni kufuga tatizo ambalo baadae hatutaweza kulitatua.

Leo unalipia mashabiki wa klabu, kesho Ali Kiba ataiomba Serikali iwagharamie mashabiki wake kwenda Marekani kufanya show utamnyima?

Twaha Kiduku ataomba aende kupigana Uingereza na mashabiki wake utamnyima??

Halafu nyie Nyuma Mwiko acheni kuzuga huwezi kulipia nauli watu 48 ukajidai eti unawapenda mashabiki zenu, Wakati kwenye mechi yenu juzi Mashabiki wameumia, wamepigwa mabomu ya machozi, watu wamepata vilema, na hamjasema chochote halafu uje uzuge eti unawapenda watu wenu.

Ndugu zangu wana Simba hili swala lisiwatie unyonge na wala Serikali yetu haina nia ya kufanya ubaguzi.

Sisi tuendelee na utamaduni wetu kujisimamia tukipata msaada tutachukua lakini katu tusilemae kusubiri dezo.

We are Simba Sisi ni Wakubwa, Sisi ni Wafalme, Sisi tuna hadhi kubwa

Lets focus na mechi yetu ya Ijumaa.
Sikiliza: kama sasa hivi unashabikia tima ya Simba au Yanga basi ujue kuwa wewe ni sawa na msukule wa Serikali. Serekali haifainyi haya yote kwa sababu eti inazipenda hizi timu au inapenda wanamichezo. Inafanya hivi kwa sababu ni njia nzuri sana ya kuwapumbaza watanzania ili wabakia huko kwenye mambo ya mpira na wasikumbuke kudai mambo ya msingi ya maisha yao. Kumbuka lini. Ni kama watoto wanavyopewa ma-toys ya kuchezea ili kuondoa bughudha wakati wazazi wanafanya yao. Mimi ni shabiki wa mpira na sichukii kushabikia mpira, lakini kwa hapa tulipofikia sasa inabidi wananchi waweke pembeni mambo ya ushabiki kwanza na wakazinie kudai mfumo bora wa uongozi kwa nchi yetu. Tukimalizana na hilo basi tunaweza kurudi kwenye starehe. Vinginevyo kama hatuwezi kuacha ushabiki kwa muda basi tuzitumie hizi timu kudai mfumo mzuri wa uongozi kunakupokuwa na mechi. Wananchi waingie kwa wingi kabisa na kuzomea kwa nguvu uozo uliopo serikali na kudai mabadiliko ya haraka.
 
View attachment 2952641
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri

Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000.

Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu Nusu Fainali, Ila msimamo wangu ni kwamba si jambo jema hata kidogo.

Kwa Mashabiki mpira ni starehe hivyo Serikali haiwezi kugharamia watu kwenda kustarehe.

Tena bora ingekua imetoa usafiri tu. Lakini wametoa Posho Dola 500 kila kichwa sawa na Milioni 1,200,000 kwa ufupi hawa Mashabiki wamenuniliwa na wanalipwa kuishangilia timu yao.

Na hao sio Mashabiki wa kawaida ni Machawa wanaotetea maslahi ya viongozi wao yaani Serikali imelipia Machawa wa watu.

Kuwalipia nauli sio kuwapenda ni kufuga tatizo ambalo baadae hatutaweza kulitatua.

Leo unalipia mashabiki wa klabu, kesho Ali Kiba ataiomba Serikali iwagharamie mashabiki wake kwenda Marekani kufanya show utamnyima?

Twaha Kiduku ataomba aende kupigana Uingereza na mashabiki wake utamnyima??

Halafu nyie Nyuma Mwiko acheni kuzuga huwezi kulipia nauli watu 48 ukajidai eti unawapenda mashabiki zenu, Wakati kwenye mechi yenu juzi Mashabiki wameumia, wamepigwa mabomu ya machozi, watu wamepata vilema, na hamjasema chochote halafu uje uzuge eti unawapenda watu wenu.

Ndugu zangu wana Simba hili swala lisiwatie unyonge na wala Serikali yetu haina nia ya kufanya ubaguzi.

Sisi tuendelee na utamaduni wetu kujisimamia tukipata msaada tutachukua lakini katu tusilemae kusubiri dezo.

We are Simba Sisi ni Wakubwa, Sisi ni Wafalme, Sisi tuna hadhi kubwa

Lets focus na mechi yetu ya Ijumaa.
makolo ni wakubwa lakini ndio wanaongoza kwa kulalama...UMBWA KABISA HAWA,SERIKALI IWEKE MPANO WA KUDHIBITI HAWA UMBWA KWANI WATAKUWA NA USUMBUFU SANA HAPO BAADE KAMA TUKIENDELEA KUWAFUGA UMBWA HAWA
 
Mambo yanafanywa kwa kutafuta sifa lakini muhusika aangalii madhara yake huku ni kugawa watu hata kwenye mambo mengine hilo jambo limekuwa likifanyika akidhani ndiyo itamletea sifa lakini inaleta manung'uniko kwa baadhi ya watu mara utasikia watu fulani sijui watibiwe matibabu ya daraja la kwanza wakati kuna wengine kibao tena wapo humo mahospitalini huku hawana msaada wowote wa serikali,serikali kama mlezi wa wananchi wote itasaidiaje mtu mmoja mmoja ikiwaacha wengine kibao hawana msaada! Hivi kama kiongozi wa serikali utawasikia wote wenye matatizo ili utoe maagizo fulani afanyiwe hivi au vile? Hii sio sawa na tabia hiyo ikome mara moja labda mtu akitaka atoe hela yake ya mfukoni na sio kutoa hela ya serikali kuichezea kwa kuwagawa watu ni vyema kama serikali ikatengeneza sera au mipango itakayonufaisha wananchi wote hata wale ambao hukusikia shida zao na kama mtu ataona anataka kumsaidia mtu mmoja au kikundi cha watu fulani basi atoe hela zake za mshahara wake na posho zake.
 
Dollars 500* 2507 = 1253500

1253500*48 sawa na milion 60,168000 hzo Ni posho tu Bado

Nauli
600000* 48 sawa na milion. 2880000

Jumla kuu milion 88968000
Hizo Ni pesa zimekwenda kutumika nnje ya bajeti kuu
Serekali hi hiwezi kuishi kweny bajeti yake inachota pesa hazina ianvyo taka
Hizi fedha siyo za viongozi bali ya ''wananchi mafala'' wanaokubali kukaangwa kwa mafuta yao. Hata kama ungekuwa wewe unaongozi wananchi manyumbu namna hii ungefanya hivyo hivyo. Viongozi wao hawana matatizo yoyote, watoto na ndugu zao wanaishi vizuri na kusoma shule nzuri. Wana kazi nzuri na wanarithishwa nafasi za uongozi, kazi kwenu wananchi manyumbu mnaoshabikia maanguko yenu mkidhani mnashabikia mpira. Mnaugua hamna uwezo wa kujitibu, watoto wenu wamemaliza vyuo lakini hawana kazi. Siku mtayokumbuka shuka kutakuwa kumeshakucha.
 
View attachment 2952641
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri

Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000.

Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu Nusu Fainali, Ila msimamo wangu ni kwamba si jambo jema hata kidogo.

Kwa Mashabiki mpira ni starehe hivyo Serikali haiwezi kugharamia watu kwenda kustarehe.

Tena bora ingekua imetoa usafiri tu. Lakini wametoa Posho Dola 500 kila kichwa sawa na Milioni 1,200,000 kwa ufupi hawa Mashabiki wamenuniliwa na wanalipwa kuishangilia timu yao.

Na hao sio Mashabiki wa kawaida ni Machawa wanaotetea maslahi ya viongozi wao yaani Serikali imelipia Machawa wa watu.

Kuwalipia nauli sio kuwapenda ni kufuga tatizo ambalo baadae hatutaweza kulitatua.

Leo unalipia mashabiki wa klabu, kesho Ali Kiba ataiomba Serikali iwagharamie mashabiki wake kwenda Marekani kufanya show utamnyima?

Twaha Kiduku ataomba aende kupigana Uingereza na mashabiki wake utamnyima??

Halafu nyie Nyuma Mwiko acheni kuzuga huwezi kulipia nauli watu 48 ukajidai eti unawapenda mashabiki zenu, Wakati kwenye mechi yenu juzi Mashabiki wameumia, wamepigwa mabomu ya machozi, watu wamepata vilema, na hamjasema chochote halafu uje uzuge eti unawapenda watu wenu.

Ndugu zangu wana Simba hili swala lisiwatie unyonge na wala Serikali yetu haina nia ya kufanya ubaguzi.

Sisi tuendelee na utamaduni wetu kujisimamia tukipata msaada tutachukua lakini katu tusilemae kusubiri dezo.

We are Simba Sisi ni Wakubwa, Sisi ni Wafalme, Sisi tuna hadhi kubwa

Lets focus na mechi yetu ya Ijumaa.
Very well narrated
 
Poleni sana kwa kuteseka, halafu acheni kujiongopea kuwa nyie ni Timu kubwa.
 
Kushabikia hizo timu huwezi kuiona Mbingu.
 
Serikali inachofanya kwenye hizi timu ni politics tu, na wao kupata credit kupitia hizi timu. Viongozi wa hizi timu mbili wanakubali kutumiwa.

Ndio maana Wizara ya michezo imekuwa Wizara ya mpira wa miguu tu, sanaa na michezo mingine ni kimya tu.
 
Wivu utawaua. Fanyeni vizuri mtazawadiwa!!
Hapa somo la ccm limefanikiwa.
Wagawe watawale.
Wewe na wenzio ni mfano wa wajinga mnaowapa ahueni wanaotumia vibaya nafasi za umma
 
Back
Top Bottom