Hawana maajabu,Wala haitushitui.Hehehehehe
yanga wa kumi na sita (16)Yanga ni wa ngapi?
Source ya hii taarifa iko wp?
Usijitingishe sindano itavunjikiaRank haichezi uwanjani! Yanga ni timu Bora ya makombe kwasasa.
Simba mnajifariji eti nafasi ya Saba wakati hata ndondo cup hamna huu ni ukichaa kabisa, makolo mkiitwa mbumbumbu fc mnachukia!
Namba 1Yanga ni wa ngapi?
Source ya hii taarifa iko wp?
Simba viwango vya mtandaoni, uwanjani zero!Mbona yanga walikuwaga wanne!??
Au ni viwango gani???
Tulia dawa inaingia taratibu taratibuSimba viwango vya mtandaoni, uwanjani zero!
Kuna mbuzimawe mmoja hapa JF alianzisha uzi kwamba Simba ijifunze kwa Utopolo.ππππSimba kwa Tanzania ni kioo Cha timu nyingine.
Siku zote wao ndio hutangulia na wengine hufuata.
Kama hutaki basi,
Facts hua hazifutiki.