Ahmed Ally: Simba imepanda viwango vya ubora CAF, sasa ni ya 7

Ahmed Ally: Simba imepanda viwango vya ubora CAF, sasa ni ya 7

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
20230707_184736.jpg
Simba Sports Club imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7

Hii maana ake ni kuwa msimu ujao katika draw ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, Simba tutawekwa kwenye Port 2 ambayo inahusisha timu kuanzia nafasi ya tano mpaka ya nane

Port A itakua na Al Ahly, Mamelod Wydad na Esparance

Port 2 ndo tutakua Simba na wakubwa wenzetu watatu

Brand yetu inazidi kupaaa na Malengo yetu ni kuingia kwenye Port ya kwanza siku chache zijazo.

Screenshot_20230707-185836_Twitter.jpg


20230707_184616.jpg
 
Yanga ni wa ngapi?

Source ya hii taarifa iko wp?
 
UTO ngoja waje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Nafasi kwenye viwango vya CAF tunaambiwa ni ukusanyaji wa alama kuanzia makundi kwenda juu kwa muda wa miaka mitano.
Hii kutoka 9 kwenda 7 kigezo nini au ni viti maalum?
 
Rank haichezi uwanjani! Yanga ni timu Bora ya makombe kwasasa.
Simba mnajifariji eti nafasi ya Saba wakati hata ndondo cup hamna huu ni ukichaa kabisa, makolo mkiitwa mbumbumbu fc mnachukia!
 
Back
Top Bottom