Mwinyigogo
Member
- May 26, 2023
- 28
- 43
Nafasi kwenye viwango vya CAF tunaambiwa ni ukusanyaji wa alama kuanzia makundi kwenda juu kwa muda wa miaka mitano.
Hii kutoka 9 kwenda 7 kigezo nini au ni viti maalum?
Vuta subra.. Unafuatilia usajli lakini?Ligi inaanza lini? Tuna arosto...
Nimeshauliza kwenye sentensi ya mwisho hapo.Haya uliza swali sasa.
Huelewi kwasababu we kwenye list haupo?Hizi rank zinatoka kila wiki mbona sielewi?
kitu huelewi kaa kimya mambo ya mipasho kama dada poa hayakufai mtoto wa kiumeHuelewi kwasababu we kwenye list haupo?
Umejiwenga sanakitu huelewi kaa kimya mambo ya mipasho kama dada poa hayakufai mtoto wa kiume
Watakuwa kuanzia 40 kwenda juuYanga ni wa ngapi?
Source ya hii taarifa iko wp?
Ongea lugha inaeleweka sio kila mtu anakaa mtaani kwenuUmejiwenga sana
Yanga imetoka nafasi ya 75 hadi ya 16 kwa msimu mmoja.Simba Sports Club imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7
Hii maana ake ni kuwa msimu ujao katika draw ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, Simba tutawekwa kwenye Port 2 ambayo inahusisha timu kuanzia nafasi ya tano mpaka ya nane
Port A itakua na Al Ahly, Mamelod Wydad na Esparance
Port 2 ndo tutakua Simba na wakubwa wenzetu watatu
Brand yetu inazidi kupaaa na Malengo yetu ni kuingia kwenye Port ya kwanza siku chache zijazo.
Caf wanatoa rank mara moja tu baada ya msimu wa interclub championship kuisha, na wanatoa rank ya performance za timu katika mashindano ya kimataifa ngazi ya vilabu kwa misimu mitano inayofuatana. Rank ulizokuwa unaziona humu kwenye nyuzi mbali mbali ni za IFFHS hazihusiani na CAF.Hizi rank zinatoka kila wiki mbona sielewi?
Kwa sasa kuna ongezeko la kiwango cha BabraNafasi kwenye viwango vya CAF tunaambiwa ni ukusanyaji wa alama kuanzia makundi kwenda juu kwa muda wa miaka mitano.
Hii kutoka 9 kwenda 7 kigezo nini au ni viti maalum?
ya kupigwaaa 😅😅😅Ligi inaanza lini? Tuna arosto...
Mmebaki kudandia vitaarifaa tu makombe yanamwenyeweee🤣🤣mnatia hurumaaaa. Niko pale makombe yote tenaaa yajaa Yanga maana mnawengeeeeee.UTO ngoja waje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Azizi Key 🗝️ aka Mafunguo... izi the gudi ekizampo
🇹🇿 = 🦁= 7 but 7 is not equal to 🐸Simba Sports Club imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7