Ahmed Ally: Simba imepanda viwango vya ubora CAF, sasa ni ya 7

Ahmed Ally: Simba imepanda viwango vya ubora CAF, sasa ni ya 7

Haya uliza swali sasa.
Nimeshauliza kwenye sentensi ya mwisho hapo.
Na nimeuliza hivyo kwasababu nafasi ya 9 wameipata baada ya kufa kiume kule kwa MWARABU.
From 9 to 7, is it a special seat?
 
Hizi rank zinatoka kila wiki mbona sielewi?
 
.
Screenshot_20230707-230440_WhatsApp.jpg
 
Simba Sports Club imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7

Hii maana ake ni kuwa msimu ujao katika draw ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, Simba tutawekwa kwenye Port 2 ambayo inahusisha timu kuanzia nafasi ya tano mpaka ya nane

Port A itakua na Al Ahly, Mamelod Wydad na Esparance

Port 2 ndo tutakua Simba na wakubwa wenzetu watatu

Brand yetu inazidi kupaaa na Malengo yetu ni kuingia kwenye Port ya kwanza siku chache zijazo.

Yanga imetoka nafasi ya 75 hadi ya 16 kwa msimu mmoja.
 
Hizi rank zinatoka kila wiki mbona sielewi?
Caf wanatoa rank mara moja tu baada ya msimu wa interclub championship kuisha, na wanatoa rank ya performance za timu katika mashindano ya kimataifa ngazi ya vilabu kwa misimu mitano inayofuatana. Rank ulizokuwa unaziona humu kwenye nyuzi mbali mbali ni za IFFHS hazihusiani na CAF.
 
UTO ngoja waje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Mmebaki kudandia vitaarifaa tu makombe yanamwenyeweee🤣🤣mnatia hurumaaaa. Niko pale makombe yote tenaaa yajaa Yanga maana mnawengeeeeee.
 
Simba Sports Club imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7

Hii maana ake ni kuwa msimu ujao katika draw ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, Simba tutawekwa kwenye Port 2 ambayo inahusisha timu kuanzia nafasi ya tano mpaka ya nane

Port A itakua na Al Ahly, Mamelod Wydad na Esparance

Port 2 ndo tutakua Simba na wakubwa wenzetu watatu

Brand yetu inazidi kupaaa na Malengo yetu ni kuingia kwenye Port ya kwanza siku chache zijazo.

🇹🇿 = 🦁= 7 but 7 is not equal to 🐸
 
Back
Top Bottom