Kwani kila kombe ni kombe mkuu?mmechukua makombe ya uji na mtori MKALETEWA LA DHAHABU MKALIKATAA KISHA MKACHUKUA MEDALI ZA DHAHABU.Rank haichezi uwanjani! Yanga ni timu Bora ya makombe kwasasa.
Simba mnajifariji eti nafasi ya Saba wakati hata ndondo cup hamna huu ni ukichaa kabisa, makolo mkiitwa mbumbumbu fc mnachukia!
Muwatafutie mademu sasa maana ndio uhandsome huwa una matter.
Hutoka kwa mwezi, taarifa za vilabu huchakatwa muda wote!! watu wana kazi zao bwana! Wale wanaokaa mabondeni huko jangwani ni wa 19. Haiwezekani awe karibu na simba!Hizi rank zinatoka kila wiki mbona sielewi?
Hakuna wa kutupiga msimu huu..mark my words mtaniya kupigwaaa 😅😅😅
Ni hatari tupuuu...Simba msimu ujao ni ya motooVuta subra.. Unafuatilia usajli lakini?
Kwa unyongee sana, nini shidaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja waje kushangilia. Hawana dogo hawa viumbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huelewi kwasababu we kwenye list haupo?
Unatesekaaaa poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmebaki kudandia vitaarifaa tu makombe yanamwenyeweee[emoji1787][emoji1787]mnatia hurumaaaa. Niko pale makombe yote tenaaa yajaa Yanga maana mnawengeeeeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Azizi Key [emoji2785] aka Mafunguo... izi the gudi ekizampo
Ndiyo ilivyo. Utaratibu ndiyo hii.Hehehehehe
16Yanga ni wa ngapi?
Source ya hii taarifa iko wp?
Ingia tovuti rasmi ya CAF. Habari za CAF Ni kwenye tovuti ya CAF huna haja ya kuuliza.Yanga ni wa ngapi?
Source ya hii taarifa iko wp?
Wewe Ni mpuuzi uliyevamia Jukwaa. NENDA insta udaku kingdom Kuna kina kimambi humo. Hao Ndio watu wa kariba YAKO.Kichaa sio lazima aokote makopo
Mara nyingi vichaa wanaamini taarifa za hisia na kuona mawazo yao ni sahihi
Vichaa wanaumia Simba au Yanga ikifungwa wakati wachezaji wa timu husika hawaumii bali wanachukulia mpira ni biashara na wanahama toka club iliyomlea kwenda club ponzani bila shida wala aibu
Sasa vichaa wa simba na Yanga wapo wengi sana JF
So CAF Ni vichaa.Kichaa sio lazima aokote makopo
Mara nyingi vichaa wanaamini taarifa za hisia na kuona mawazo yao ni sahihi
Vichaa wanaumia Simba au Yanga ikifungwa wakati wachezaji wa timu husika hawaumii bali wanachukulia mpira ni biashara na wanahama toka club iliyomlea kwenda club ponzani bila shida wala aibu
Sasa vichaa wa simba na Yanga wapo wengi sana JF
Pyramids kuwa nafasi ya 8 wametumia vigezo gani?Simba Sports Club imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7
Hii maana ake ni kuwa msimu ujao katika draw ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, Simba tutawekwa kwenye Port 2 ambayo inahusisha timu kuanzia nafasi ya tano mpaka ya nane
Port A itakua na Al Ahly, Mamelod Wydad na Esparance
Port 2 ndo tutakua Simba na wakubwa wenzetu watatu
Brand yetu inazidi kupaaa na Malengo yetu ni kuingia kwenye Port ya kwanza siku chache zijazo.
Punguza makasiriko mkuu, Ni Mambo ya rank tu.Kichaa sio lazima aokote makopo
Mara nyingi vichaa wanaamini taarifa za hisia na kuona mawazo yao ni sahihi
Vichaa wanaumia Simba au Yanga ikifungwa wakati wachezaji wa timu husika hawaumii bali wanachukulia mpira ni biashara na wanahama toka club iliyomlea kwenda club ponzani bila shida wala aibu
Sasa vichaa wa simba na Yanga wapo wengi sana JF
Msimu mmoja? misimu mingine mlikuwa wapi?Yanga imetoka nafasi ya 75 hadi ya 16 kwa msimu mmoja.
Hapo sasa..Msimu mmoja? misimu mingine mlikuwa wapi?
Umeelewa nilichokimaanisha kwanza?Msimu mmoja? misimu mingine mlikuwa wapi?