Ahmed Ally: Simba imepanda viwango vya ubora CAF, sasa ni ya 7

Ahmed Ally: Simba imepanda viwango vya ubora CAF, sasa ni ya 7

Rank haichezi uwanjani! Yanga ni timu Bora ya makombe kwasasa.
Simba mnajifariji eti nafasi ya Saba wakati hata ndondo cup hamna huu ni ukichaa kabisa, makolo mkiitwa mbumbumbu fc mnachukia!
Kwani kila kombe ni kombe mkuu?mmechukua makombe ya uji na mtori MKALETEWA LA DHAHABU MKALIKATAA KISHA MKACHUKUA MEDALI ZA DHAHABU.
 
Hizi rank zinatoka kila wiki mbona sielewi?
Hutoka kwa mwezi, taarifa za vilabu huchakatwa muda wote!! watu wana kazi zao bwana! Wale wanaokaa mabondeni huko jangwani ni wa 19. Haiwezekani awe karibu na simba!
 
Mmebaki kudandia vitaarifaa tu makombe yanamwenyeweee[emoji1787][emoji1787]mnatia hurumaaaa. Niko pale makombe yote tenaaa yajaa Yanga maana mnawengeeeeee.
Unatesekaaaa poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hehehehehe
Ndiyo ilivyo. Utaratibu ndiyo hii.

Yanga Ni ya 16 mkifanya vizuri msimu ujao mnaweza kuwa kwenye 14.

Kumbuka: ukifeli klabu bingwa hakuna mtelezo wa kwenda shirikisho. Habari inaishia hapo. KANUNI mpya.
Screenshot_20230708-161755.jpg
 
Kichaa sio lazima aokote makopo

Mara nyingi vichaa wanaamini taarifa za hisia na kuona mawazo yao ni sahihi

Vichaa wanaumia Simba au Yanga ikifungwa wakati wachezaji wa timu husika hawaumii bali wanachukulia mpira ni biashara na wanahama toka club iliyomlea kwenda club ponzani bila shida wala aibu

Sasa vichaa wa simba na Yanga wapo wengi sana JF
Wewe Ni mpuuzi uliyevamia Jukwaa. NENDA insta udaku kingdom Kuna kina kimambi humo. Hao Ndio watu wa kariba YAKO.
 
Kichaa sio lazima aokote makopo

Mara nyingi vichaa wanaamini taarifa za hisia na kuona mawazo yao ni sahihi

Vichaa wanaumia Simba au Yanga ikifungwa wakati wachezaji wa timu husika hawaumii bali wanachukulia mpira ni biashara na wanahama toka club iliyomlea kwenda club ponzani bila shida wala aibu

Sasa vichaa wa simba na Yanga wapo wengi sana JF
So CAF Ni vichaa.

Nb: Yanga Ni ya 16 na Ina miaka 25 bila kufunga makundi Cafcl wakati huo Mayele alijua na miaka 2,Fei alikuwa mimba.
Screenshot_20230708-161755.jpg
 
Simba Sports Club imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7

Hii maana ake ni kuwa msimu ujao katika draw ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, Simba tutawekwa kwenye Port 2 ambayo inahusisha timu kuanzia nafasi ya tano mpaka ya nane

Port A itakua na Al Ahly, Mamelod Wydad na Esparance

Port 2 ndo tutakua Simba na wakubwa wenzetu watatu

Brand yetu inazidi kupaaa na Malengo yetu ni kuingia kwenye Port ya kwanza siku chache zijazo.

Pyramids kuwa nafasi ya 8 wametumia vigezo gani?
 
Kichaa sio lazima aokote makopo

Mara nyingi vichaa wanaamini taarifa za hisia na kuona mawazo yao ni sahihi

Vichaa wanaumia Simba au Yanga ikifungwa wakati wachezaji wa timu husika hawaumii bali wanachukulia mpira ni biashara na wanahama toka club iliyomlea kwenda club ponzani bila shida wala aibu

Sasa vichaa wa simba na Yanga wapo wengi sana JF
Punguza makasiriko mkuu, Ni Mambo ya rank tu.
 
Msimu mmoja? misimu mingine mlikuwa wapi?
Umeelewa nilichokimaanisha kwanza?
Yanga alikuwa ndio timu inayoburuza mkia akiwa nafasi ya 75 na point yake moja. Lakini ndani ya msimu mmoja katoka kutoka nafasi ya 75 hadi ya 16 na ndani ya msimu mmoja kavuna point 16
 
Back
Top Bottom