Ahmed Ally: Simba ina wachezaji bora na wenye uwezo kuliko Yanga

Ahmed Ally: Simba ina wachezaji bora na wenye uwezo kuliko Yanga

Nakubaliana na Mawazo yako kaka. Mimi nimejikubali kuwa mimk mimi ni chizi, kichaa, kiongozi No 1 wa wapumbavu na siwezi kupona

Lakini kwa heshima na staha na utu si vizuri kuanika picha ya mtu wa namna hiviyo na kuipost hapa jukwaani ukimfananisha na kichaa.

Nadhani unakosea sana.
Nadhani ufute ama ni report kwa moderators.

Huo ni udharilishaji,Chuki ,kutweza utu wa mtu na UKATILI WA KIMTANDAO.

USITUKANE WAKUNGA NA UZAZI UNGALIMO
ASANTE.
Unaitaga watu nyani na mbwa hio busara umeitoa wapi leo?
 
Mechi ya Simba na Yanga huwa ni mechi ngumu huwa haijalishi timu zote zipo kwenye hali gani. Hata mashabiki wa Simba tukicheza dhidi ya mashabiki wa Yanga unaona kabisa amsha amsha jinsi ilivyo."

"Hata kama Yanga awe vibaya kiasi gani wanaweza wakasafiri na lori kwenda mpaka Mbeya sababu ya kupitia hali ngumu lakini bado wakicheza dhidi yetu mechi huwa ni ngumu."

"Licha ya kufungwa na Ihefu ambayo imeshazoea kuwafunga Yanga, bado mechi yetu dhidi yao huwa ni mechi ngumu. Na ukiangalia mfululizo wa mechi zao kwasasa unaona kabisa itakuwa mechi ngumu."

"Lakini tutawafunga sababu sisi Simba tuna wachezaji wenye ubora kuliko wachezaji wao. Yanga wana wachezaji wenye ubora lakini ukiwalinganisha na wachezaji wa Simba, sisi ndiyo tuna wachezaji wenye ubora zaidi kuliko wote."

"Yanga wana wachezaji wenye ubora kuliko wa Azam, wa Azam wana ubora kuliko Mashujaa na sisi tuna wachezaji wenye ubora zaidi kuliko hao wote, tuna wachezaji wenye ubora wa ngazi ya Afrika. Kama wachezaji wa Simba wakiamua mechi hii tunataka kushinda basi hakuna timu inaweza kutuzuia."
- Ameongea Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally kupitia EFM

Si kishabiki wala nini.

Simba ina wachezaji more technicalities wengi kuliko timu yoyote Tanzania.

Mfano simba wanaweza kuwa na wachezaji 8 kwa haraka haraka.

Yanga wachezaji wa 4 tu.

Ndio maana unakuta.
1.Kapombe analinganiswha na...
2. Shabalala analinganishwa na..
3. Inonga analinganishwa na........
4.chama analinganishwa na.......
5. Manula analinganishwa na......
6. Leo wapo kwa chemalone.........
7. Kesho kwa ngoma.....
This is too low for you Broda.
 
Unaitaga watu nyani na mbwa hio busara umeitoa wapi leo?

Sijawahi kumuita Mtu Nyani wala Mbwa

Hiyo ni nukuu ya Luc Eymael.
Mimi kosa langu liko wapi Kumnukuu kocha mkubwa kama Yule?????

Shabiki wa yanga ambaye pia ni mwanachama wa Jf akikosea hapa jukwaani huwa narelate na hii kauli.

"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Uzuri wa wachezaji wa yanga ni upi unao wazidi wa simba?

Hakuna anayeweza kujibu hii hoja mkuu.

Mala zote wamekuwa wakiwalinganisha chama na azizi ki,feisal,pakome.

Mala shomari na kibwana shomari, juma shaban,juma abdul nk

Lakini hapa watazomea utazani..........
 
Si kishabiki wala nini.

Simba ina wachezaji more technicalities wengi kuliko timu yoyote Tanzania.

Mfano simba wanaweza kuwa na wachezaji 8 kwa haraka haraka.

Yanga wachezaji wa 4 tu.

Ndio maana unakuta.
1.Kapombe analinganiswha na...
2. Shabalala analinganishwa na..
3. Inonga analinganishwa na........
4.chama analinganishwa na.......
5. Manula analinganishwa na......
6. Leo wapo kwa chemalone.........
7. Kesho kwa ngoma.....
Nimekuwa nikikusoma na nikakuona huwa unaichambua Simba sio kiushabiki kutokana na vile ambavyo huwa unaona, na ninaonaga upo sahihi kabisa ila kwa hiki ulichosema leo mkuu naona kama haupo sahihi.
 
Nimekuwa nikikusoma na nikakuona huwa unaichambua Simba sio kiushabiki kutokana na vile ambavyo huwa unaona, na ninaonaga upo sahihi kabisa ila kwa hiki ulichosema leo mkuu naona kama haupo sahihi.

Sipo sahihi kivipi mkuu.
Natamani nikosolewe na kuniomyesha nimekosea wapi????

Hujaona kila siku
Chama analinganishwa na nyonzima,Saido,feisal,azizi ki,pakome ?????

Na chama amekiwa akiwapiku wote hapo nilipokosea ni wapi mkuu???????
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Mkuu kwa heshima yako embu futa hii post.

Mimi ni tahira nambari Moja hapa jukwaani.
Mimi ndio mpumbavu mkuu.

Kumbe ulikuwa Hujui mkuu??????
Mbona hili suala nimelisema mala nyingi sana.

Ila napenda ninapokosea unanikosoa na kunionyesha suluhisho la makosa
Otherwise opposite is true.
 
Ni kweli mkuu mimi ni tahira No 1 hapa Jamii Forum.

Ila sikujua Manula ana profile ya kuishia Buza.

Na hao kapombe na shabalala ni uchocholo.

Unisamehe Ujinga wangu unanipeleka pabaya sana
Nikikuitaga mjinga unaona nakuonea

Haya leo mmeona wenyewe wanazengo
 
Mechi ya Simba na Yanga huwa ni mechi ngumu huwa haijalishi timu zote zipo kwenye hali gani. Hata mashabiki wa Simba tukicheza dhidi ya mashabiki wa Yanga unaona kabisa amsha amsha jinsi ilivyo."

"Hata kama Yanga awe vibaya kiasi gani wanaweza wakasafiri na lori kwenda mpaka Mbeya sababu ya kupitia hali ngumu lakini bado wakicheza dhidi yetu mechi huwa ni ngumu."

"Licha ya kufungwa na Ihefu ambayo imeshazoea kuwafunga Yanga, bado mechi yetu dhidi yao huwa ni mechi ngumu. Na ukiangalia mfululizo wa mechi zao kwasasa unaona kabisa itakuwa mechi ngumu."

"Lakini tutawafunga sababu sisi Simba tuna wachezaji wenye ubora kuliko wachezaji wao. Yanga wana wachezaji wenye ubora lakini ukiwalinganisha na wachezaji wa Simba, sisi ndiyo tuna wachezaji wenye ubora zaidi kuliko wote."

"Yanga wana wachezaji wenye ubora kuliko wa Azam, wa Azam wana ubora kuliko Mashujaa na sisi tuna wachezaji wenye ubora zaidi kuliko hao wote, tuna wachezaji wenye ubora wa ngazi ya Afrika. Kama wachezaji wa Simba wakiamua mechi hii tunataka kushinda basi hakuna timu inaweza kutuzuia."
- Ameongea Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally kupitia EFM

Simba SC tupo juu
 
Back
Top Bottom