Al Masry hakuzidiwa mchezo wanatumia akili wanajua wanacheza na timu inayocheza na majukwaa wakawapa wachezee mpira ikifika moment wana jambo lao wanatimizaLile goli la tatu lililokataliwa liliniuma sana, yaani pale ndio ilikuwa mgonjwa amekata roho rasmi. Saivi bado wana matumaini kwavile Al Masry kaonesha kuzidiwa kimchezo japo yupo kwao.
Wamepaki kwao mbona mmeshindwa kupata ata goli la offside?Wakipaki basi watafungwa kirahisi.
Usiwasahua akina mabululu walipaki basi na kilichowakuta. Juzi simba kazingua sana ugenini ila hapa nyumbani kutakua hakuna cha kupotea naamini wataongeza juhudiWamepaki kwao mbona mmeshindwa kupata ata goli la offside?
Mechi za mtoano ni technic na ufundi usidhani na wao watakuja kucheza kiboya,,Mpira mliocheza kule ndio huo huo mtacheza hapa kwa kufunguka na wao watakuwa wanawapiga counter za maana uku wakizuia kwenye low block uku wakiwaachia Mpira wenu wa mbio na pasi ambazo hazina maanaUsiwasahua akina mabululu walipaki basi na kilichowakuta. Juzi simba kazingua sana ugenini ila hapa nyumbani kutakua hakuna cha kupotea naamini wataongeza juhudi
Simba kwa akili zao zile zile za kocha wao ambae ni mweupe kimbinu ni lazima watafunguka mwanzo mwisho kama walivyocheza kule sasa kitachowakuta watasimuliaJamaa wanakuja kulinda mtaji wao. Simba wakijiamini sana watatobolewa mapema tu na ndoto inaishia hapo.
constantine walishindwaje?Simba kwa akili zao zile zile za kocha wao ambae ni mweupe kimbinu ni lazima watafunguka mwanzo mwisho kama walivyocheza kule sasa kitachowakuta watasimulia
Tofautisha mechi za mtoano na mechi za makundi,,Approach unayotumia kucheza mechi za makundi ni tofauti na mbinu unazopaswa kutumia kucheza kwenye knock out stage,,ndio apo tunapomuona kocha wenu anaburuzwa kimbinu na timu ambayo uwezo wake ni sawa na Namungo!constantine walishindwaje?
We jamaa unatumia akili mingi basi ngoja tusubirie tu hiyo tar 9Mechi za mtoano ni technic na ufundi usidhani na wao watakuja kucheza kiboya,,Mpira mliocheza kule ndio huo huo mtacheza hapa kwa kufunguka na wao watakuwa wanawapiga counter za maana uku wakizuia kwenye low block uku wakiwaachia Mpira wenu wa mbio na pasi ambazo hazina maana
Na ndivyo inavyotakiwa, waarabu ktk hatua za mtoano huwa wanabadilika kabisa.Kama uliwaangalia vizuri wale jamaa wanacheza kimkakati, hawana gonga gonga za kipuuzi
Haha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaal.... Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa Simba ni miongoni mwa timu zinazotoa vipigo vikubwa barani Afrika huku akisisitiza kuwa tayari wamewahi kuwadhalilisha wapinzani wengi, ikiwa ni pamoja na Horoya AC.
Hata hivyo, anasema hawajawahi kufanya hivyo kwa timu kutoka Uarabuni jambo analodai litabadilika, kwani kwa sasa ni zamu ya Al Masry kupokea kichapo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Ahmed amesema ushindi huo utakuwa mfano kwa timu nyingine barani Afrika.
Akizungumzia mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC), Ahmed amebainisha kuwa mabao mawili waliyofungwa nchini Misri si changamoto kubwa na anaamini yanaweza kulipwa kipindi cha kwanza tu. Ametoa kauli hiyo kwa kujiamini, akieleza kuwa Simba tayari imepita vizingiti vigumu na sasa haina hofu ya kwenda kufanya makubwa katika mchezo huo wa Aprili 9, 2025 na kutinga hatua ya nusu fainali.
View attachment 3292869
Maajabu haya.Haujawahi kuruka kwenda Nusu fainali alafu unasema umeshavuka vigingi, Kweli MBUMBUMBU ni MBUMBUMBU