Ahmed Ally: Tutapambana hata tukifungwa basi ziwe chache

Ahmed Ally: Tutapambana hata tukifungwa basi ziwe chache

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
AHMED: TUTAPAMBANA HATA TUKIFUNGWE BASI ZIWE CHACHE.

"Mechi Hii Tunarelax Vya Kutosha Na Tunawaambia Mashabiki Zetu Wasiume Meno Hakuna Presha Yoyote Sababu Tumeshafuzu Tuko Robo Finali. Ni Mechi Tunayokwenda Kukamilisha Ratiba"

"Ila Kwa Heshima Ya Klabu Kwa Heshima Ya Mpira Wa Miguu Ni Mechi Ambayo Tunatakiwa Kufanya Jambo Pamoja Kwamba Tuna Relax Lakini Hatuwezi Kwenda Kujiachiia Tukapigwa Goli Sita Tukapigwa Saba Tayari Unakuwa Umeidharirisha Klabu"

"Na Ukifungwa Itabaki Historia Pale Ulifungwa Saba ...Hawatoangalia Ililuwa Mechi Ya Kujifurahisha au Mechi Ya Kujichekesha ..Wataangalia Mnyama Alipasuka Saba Dhidi Ya Raja"

AHMED ALLY,Meneja wa Kitengo cha Habari cha Klabu ya Simba SC [emoji1241].

FutbalPlanetUpdates

1680256519257.jpg
 
Hiyo ilikuwapo katika hesabu, ndio maana tukasema tumalizane kabisa na Horoya hapa Dar. Hata Raja hawatafunguka sana baada ya kuona goli 7-0 za Horoya, watalinda kiasi
Hizo Saba mnaenda kulipia
 
Back
Top Bottom