Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Hayo hayatuhusu siye,Kweli wenye akili ni wawili! yani hawajui mda wa mechi kuwa tofauti ni rahisi kupanga matokeo na Monastir kuongoza kundi ila wao hawana habari wapo bize na mechi ya mnyama[emoji119][emoji119]View attachment 2572351
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
One step at a time,tumfunge kwanza Mazembe Kwa goli nyingi mengine baadae
Kila mtu ashinde mechi zake