Ahmed Ally: Tutapambana hata tukifungwa basi ziwe chache

Ahmed Ally: Tutapambana hata tukifungwa basi ziwe chache

Kweli wenye akili ni wawili! yani hawajui mda wa mechi kuwa tofauti ni rahisi kupanga matokeo na Monastir kuongoza kundi ila wao hawana habari wapo bize na mechi ya mnyama[emoji119][emoji119]View attachment 2572351

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Hayo hayatuhusu siye,
One step at a time,tumfunge kwanza Mazembe Kwa goli nyingi mengine baadae

Kila mtu ashinde mechi zake
 
Na zimekuwa chache kweli,,, semaji liliona mbali,,uwezi kuwa na wakina onyango ukategemea maajabu ugenini ni bora upunguze idadi ya magoli tu🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom