Ahmed Ally: Tutapambana hata tukifungwa basi ziwe chache

Hizo Saba mnaenda kulipia
Usiogope mechi mtoto wa kiume, yaani tangu wiki iliyopita unaanzisha tu nyuzi za Simba, hivi unadhani Simba wana uoga wa mechi? Sasa ukiweka lengo la kuchukua kombe, unadhani utachukua mbele ya timu dhaifu dhaifu kama za Congo DRC? Simba anashiriki Champions League, huko ndiko kuna wababe wa Afrika, kwa hiyo ni jambo la kawaida kabisa kukutana na vigogo
 
Aahaaaaah
 
 
Jinga sana, yaani unaenda na mentality ya usinfungwe 7?! Stupid
 
Hiyo ilikuwapo katika hesabu, ndio maana tukasema tumalizane kabisa na Horoya hapa Dar. Hata Raja hawatafunguka sana baada ya kuona goli 7-0 za Horoya, watalinda kiasi
Ukisikisa akili matope ndiyo hii, mtu kakupasua tatu nyumbani kwako halafu akiwa kwake alinde
 
Mashabiki wa Yanga wanakosa usingizi wao leo wakiangalia watu wanaojua mpira wakicheza mechi ya kirafiki.

Famasihara nini.
 
Msemaji wenu anaonekana kuogopa mkuu
 
Hii mechi Simba tayari kabisa ameshakata tamaa na anafahamu anaenda kufungwa ila idadi ya magoli ndio hajui.

It's very pathetic indeed.
 
Hii kukubali kuwa utafungwa japo goli chache ni akili mbovu sana.

Hawa Raja ni wazuri lakini sio kwa kiwango wanachosifiwa.Simba wana uwezo wa kutoa sare ama hata kushinda.Lakini haitakuwa hivyo kutokana na kauli kama hizi kwani naamini ndivyo wachezaji wanavyofikiri.
Wachezaji hawajiamini kila wanapochukua mpira

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…