Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Apr 1, 2023 #41 Rogers luyangi said: Kweli wenye akili ni wawili! yani hawajui mda wa mechi kuwa tofauti ni rahisi kupanga matokeo na Monastir kuongoza kundi ila wao hawana habari wapo bize na mechi ya mnyama[emoji119][emoji119]View attachment 2572351 Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hayo hayatuhusu siye, One step at a time,tumfunge kwanza Mazembe Kwa goli nyingi mengine baadae Kila mtu ashinde mechi zake
Rogers luyangi said: Kweli wenye akili ni wawili! yani hawajui mda wa mechi kuwa tofauti ni rahisi kupanga matokeo na Monastir kuongoza kundi ila wao hawana habari wapo bize na mechi ya mnyama[emoji119][emoji119]View attachment 2572351 Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app Click to expand... Hayo hayatuhusu siye, One step at a time,tumfunge kwanza Mazembe Kwa goli nyingi mengine baadae Kila mtu ashinde mechi zake
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Apr 1, 2023 Thread starter #42 Kanali G said: Hongereni kwa kufungwa chache Click to expand... Tuwape pongezi
M Mtanzanias JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 1,747 Reaction score 3,725 Apr 1, 2023 #43 Na zimekuwa chache kweli,,, semaji liliona mbali,,uwezi kuwa na wakina onyango ukategemea maajabu ugenini ni bora upunguze idadi ya magoli tu🤣🤣🤣🤣
Na zimekuwa chache kweli,,, semaji liliona mbali,,uwezi kuwa na wakina onyango ukategemea maajabu ugenini ni bora upunguze idadi ya magoli tu🤣🤣🤣🤣