3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Kaandame kwa wale wauza mihogo wenu wanaofuga misukule avic town au haupo zamu ya kwenda kumlisha kambole mapumba na unga?Hii kitu hatukubali ikiwezekana kesho tuandamane tukakiamshe hapo Msimbazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaandame kwa wale wauza mihogo wenu wanaofuga misukule avic town au haupo zamu ya kwenda kumlisha kambole mapumba na unga?Hii kitu hatukubali ikiwezekana kesho tuandamane tukakiamshe hapo Msimbazi
Utamkuta nani watu wamenyanyua benchi lote na reserve wako DubaiHii kitu hatukubali ikiwezekana kesho tuandamane tukakiamshe hapo Msimbazi
Hahaa ila ww dada mkorofi unanifatilia sana..tuache mimi na watani zangu..ww pita kushoto..Kaka mbona kama umechukia hivi?
duuh!kweli unaumwa hata ulichoandika kumueleza msemaji umeishia kutaja majina tu ya wachezajiHabari wakuu.
Leo nimpe somo Ahmed Ally.
Mkuu / MKURUGENZI wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano simba.
Nina mengi ya KUKUELEZA lakini si kwa Leo. Afya yangu haipo poa kabisa.
Nimejaribu kutafuta orodha ya Wachezaji wa Simba waliosafiri na timu kwenda Dubai sijapata.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji ambao hawajaenda nimekosa.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji waliopata majeraha.
Moses PHIRI.
Peter Banda
Enock Inonga.
Nimejaribu kuangalia chama alierudi kwao wapi????
Infomatio is power.
Kwa wale wenye kujua Orodha ya Wachezaji WALIOSAFIRI nk naomba msaada.
2.Uongozi wa Simba ACHANENI na magalasa YAFUATAYO.
1. peter Banda.
2. Emarson Okwa.
3. Sadio Kanute.
4. Victor Akpan.
5. Mohamed Ottara nk.
Hawa akina.
Mkude, nyoni, Boko, Kyombo, KIBU,Gadiel, tumewachoka hawana msaada.
Naomba kuwasilisha.
Tunavunja hata jiwe la msingi na kuacha ujumbe kwa walinzi.Utamkuta nani watu wamenyanyua benchi lote na reserve wako Dubai
Wachezaji wenye akili timamu watatafuta Sababu ya kutokwenda Dubai kwasasa. Huwezi kwenda kufanya Kambi ya siku Saba Kwa maelfu ya kilometa wakati wapo mapumzikoni.
Huyu ni mwiba/atari kwa utopolo ndo maana amemweka kwenye list kiujumla aache wivuWw hujui mpira sadio kanoute unamwita garasa wale ni aina ya viungo wale ambao ni tough
Hoja kubwa hapa ni Ahmed Ally au Makapi?Habari wakuu.
Leo nimpe somo Ahmed Ally.
Mkuu / MKURUGENZI wa kitengo Cha Habari na Mawasiliano simba.
Nina mengi ya KUKUELEZA lakini si kwa Leo. Afya yangu haipo poa kabisa.
Nimejaribu kutafuta orodha ya Wachezaji wa Simba waliosafiri na timu kwenda Dubai sijapata.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji ambao hawajaenda nimekosa.
Nimejaribu kutafuta habari ya Wachezaji waliopata majeraha.
Moses PHIRI.
Peter Banda
Enock Inonga.
Nimejaribu kuangalia chama alierudi kwao wapi????
Infomatio is power.
Kwa wale wenye kujua Orodha ya Wachezaji WALIOSAFIRI nk naomba msaada.
2.Uongozi wa Simba ACHANENI na magalasa YAFUATAYO.
1. peter Banda.
2. Emarson Okwa.
3. Sadio Kanute.
4. Victor Akpan.
5. Mohamed Ottara nk.
Hawa akina.
Mkude, nyoni, Boko, Kyombo, KIBU,Gadiel, tumewachoka hawana msaada.
Naomba kuwasilisha.
Chuki yako dhidi ya Simba itakuuwa wewe!Vyeo vya kupeana weledi utatoka wapi??
Umeshawahi kuhoji ni vipi c.e.o aliyepo aliingiaje pale Simba?
Vipi kuhusu mgunda? Vipi matola? Pale Simba kunanuka rushwa sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe ndio chuki Yako kwangu itakuua..Chuki yako dhidi ya Simba itakuuwa wewe!
Wamekwenda kibiashara, mipira ikaguliwe.Wachezaji wenye akili timamu watatafuta Sababu ya kutokwenda Dubai kwasasa. Huwezi kwenda kufanya Kambi ya siku Saba Kwa maelfu ya kilometa wakati wapo mapumzikoni.
Unafahamu kuwa wanigeria na waghana hawaruhusiwi kuingia Dubai!Wachezaji wenye akili timamu watatafuta Sababu ya kutokwenda Dubai kwasasa. Huwezi kwenda kufanya Kambi ya siku Saba Kwa maelfu ya kilometa wakati wapo mapumzikoni.
Mbumbumbu mikia bin makolo fc! Hakuna plan yoyote ya timu , Kila kitu ni mhemko! Utopolo tukiwapasua Simba ndo kabisa wanapoteana na kufukuzana! scouting ya mikia ni mbovu hadi waone mchezaji Yanga wamrubuni! Vyeo vya kupeana Mo na demu wake!!Vyeo vya kupeana weledi utatoka wapi??
Umeshawahi kuhoji ni vipi c.e.o aliyepo aliingiaje pale Simba?
Vipi kuhusu mgunda? Vipi matola? Pale Simba kunanuka rushwa sana
Umeshawahi kuongoza timu yoyote mkuu hata ngazi ya wilaya?Mimi Sina wivu, ao wachezaji hawaendi shopping, ao wanaenda kambini na kuwa kambini katika nchi ya ugeni unakua huna uhuru.
Yaani ni mazoezi na kurudi hotel wakati huu ndio muda wa wachezaji kufanya recovery ya mwili.
Kuweka Kambi maanayake mna vipindi zaidi ya kimoja Kwa Siku, baadae wachezaji wanarudi na fatigue [emoji3][emoji3]
Kambi ya siku Saba nje ya nchi izo ni Siasa au biashara ya Ngada.
Nimeishi kwenye michezo robo ya maisha Yangu, kuanzia Soka, basket, handball n.kUmeshawahi kuongoza timu yoyote mkuu hata ngazi ya wilaya?