Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

Ahmed Ally wa Azam TV Msemaji Mpya wa Simba

Safi, maana wasemaji wa timu ilifika kipindi wenye kujua kuchonga ngenga ndio wanapewa mashavu...
Lilikua jambo la hatari sana, tunahitaji utani ila sio uropokaji.
 
Tatzo hana ushawishi wowote ndani ya Simba ni MROPOKAJI mno,POPOMA.
Ushawishi ndani ya Simba Sc ataupata akiifanya kazi yake kwa weredi, kitu msichokijua ni kwamba kutokana na ongezeko la watu wanaotumia mitandao ya kijamii Tanzania (Facebook, Instagram, Twitter & WhatsApp) swala la kupata popularity limekuwa ni kitu kidogo sana.

Huyu akiifanya kazi yake vizuri, kupitia Simba Sc ni miezi miwili tu anakuwa na reputation kuliko hâta aliyoipata huko Azam.

Hâta huyo Manara bila Simba Sc asingekuwa na huo umaarufu, wewe wenzake akina Bumbuli na Nugazi licha ya kupewa airtime ila bado hawajulikani.
 
Ushawishi ndani ya Simba Sc ataupata akiifanya kazi yake kwa weredi, kitu msichokijua ni kwamba kutokana na ongezeko la watu wanaotumia mitandao ya kijamii Tanzania (Facebook, Instagram, Twitter & WhatsApp) swala la kupata popularity limekuwa ni kitu kidogo sana...
Nugaz daah!!! Vimbaa mwanachi vimbaaa
 
Manara kabla ta kuja simba alijulikana kwa udalali wa magari na kashfa ya usho...hakuwa maarufu,simba ndio ikimpa umaarufu .kijana apewe muda
Huyu ni swala la muda tu anakuwa maarufu, na ni aina ya watu wanaouweza sana utani plus ethics za kazi ya uanahabari.

Yule mwingine alijua kuropoka ila hakuwa na ethics za kazi yake.
 
Ushawishi ndani ya Simba Sc ataupata akiifanya kazi yake kwa weredi, kitu msichokijua ni kwamba kutokana na ongezeko la watu wanaotumia mitandao ya kijamii Tanzania (Facebook, Instagram, Twitter & WhatsApp) swala la kupata popularity limekuwa ni kitu kidogo sana...
Na umaarufu kupitia simba ni rahisi sana, huwezi amini huyo mwinyaku sikuwa kumjua mpaka pale alipojihusisha kwenye maswala ya simba

Yani uwe mwana habari kwenye club ambayo inashika nafasi ya 6 kwa africa iliyoingia robo fainali season 2 mfululizo na kuchukua ubingwa mara 4 afu usipate umaarufu?
 
Nugaz daah!!! Vimbaa mwanachi vimbaaa
Hahahaha kuna kitu watu hawakijui, Simba ni club ambayo inafatiliwa sana na Platforms mbalimbali na habari za Simba huwa zinatrend kuliko za wale wenzetu, ndomaana blogs nyingi, waandishi wengi na wachambuzi wengi hupenda kuisema vibaya au vuziri ili kuamsha mijadala mbalimbali mitandaoni kisha wapate kutrend.

Kitu kizuri au kibaya kikifanyika Yanga huwa sio habari kabisa ila kikitokea Simba Sc kitaongelewa hadi kero[emoji28], kwahiyi ukifanya kazi Simba Sc ni lazima umaarufu ukufate.
 
Huyu ni swala la muda tu anakuwa maarufu, na ni aina ya watu wanaouweza sana utani plus ethics za kazi ya uanahabari.

Yule mwingine alijua kuropoka ila hakuwa na ethics za kazi yake.
Exatly kabisa, kile kijamaa kilikua kina uchawa fulani hivi wenye kuboa sana yani kilikua kama kakakuona vile

Kipo tayari hata kujidhalilisha au kumdhalilisha mwingine ili mradi tu kimfurahishe boss
 
Back
Top Bottom