lugabussa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 557
- 523
Simba imeramba dume apaAmewahi kuhudumu Sahara Media & Azam MediaView attachment 2066813
Ni kijana mchapakazi, mwenye uhusiano mzuri na watu wa aina zote, mtanashati na kubwa zaidi mapenzi yake kwa Simba hayapimiki.
Ahmed Ally karibu kwenye klabu ya maisha yako kuwatumikia Wanasimba kama Afisa Habari na Mawasiliano. #NguvuMoja