Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Jan 28, 2025 #1 Imekuaje tena Semaji anatoa siri za Chama ๐ Juzi tu hapa tumesemwa na Prof. Tibaijuka eti asema ukiwa na miaka 30, unasema bado nini? Sikiliza majibu ya Msemaji wa Simba Ahmed Ally kuhusu kufunga ndoa pia amejibu watu ambao wanauliza huyu atakuwa mke wa ngapi kwake kumuoa. Your browser is not able to display this video.
Imekuaje tena Semaji anatoa siri za Chama ๐ Juzi tu hapa tumesemwa na Prof. Tibaijuka eti asema ukiwa na miaka 30, unasema bado nini? Sikiliza majibu ya Msemaji wa Simba Ahmed Ally kuhusu kufunga ndoa pia amejibu watu ambao wanauliza huyu atakuwa mke wa ngapi kwake kumuoa. Your browser is not able to display this video.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jan 28, 2025 #2 hahahaaa kapatia sana
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Jan 28, 2025 #3 Mwaka huu usipite bila kuteeeeeeenda mu ujiiiiiza๐ถ๐ถ๐ค
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,901 Reaction score 3,941 Jan 28, 2025 #4 hatari sana
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jan 29, 2025 #5 Kasema kweli
didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 861 Reaction score 1,476 Jan 29, 2025 #6 Niendelee kupiga pisi tu
Roboti Wa Nape JF-Expert Member Joined Nov 20, 2023 Posts 1,174 Reaction score 2,876 Jan 29, 2025 #7 kina kirefu said: hahahaaa kapatia sana Click to expand... Kapatia nini?
makutupora JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,089 Reaction score 4,086 Jan 29, 2025 #8 Unawajua wahuni wewe? In PolePole's voice ๐
Roboti Wa Nape JF-Expert Member Joined Nov 20, 2023 Posts 1,174 Reaction score 2,876 Jan 29, 2025 #10 View attachment 3217389