PreGE2025 Ahmed Kombo: Natoa onyo kwa vijana wanaomdhihaki Rais wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Mwanaharakati huru Ahmed Kombo ameonya Vijana kutoka mataifa jirani kuzungumzia vibaya Uongozi wa Tanzania pamoja na viongozi wake.

Kombo ameyasema hayo wakati akizungumza na Wanahabari huku akisisitiza kuwa Vijana kutoka Mataifa jirani wasipende kuingilia ‘Ugomvi wa Ndugu’.
Your browser is not able to display this video.
 
Hunger Is a Cruel Master
 
Mikwara mbuzi hii, awe serious
 
Hu
Mkifikia Hadi kuchinjana hapo hakuna undugu
 
Wangemjibu Gwajima au wanaogopa kuchezea transfoma ?😏
 
Aibu naona mimi.inahitaji kiwango cha juu sana cha ukatili ili kutetea haya mambo
 
Hilo jina linafanana na la wale viumbe wenye adimu duniani vichwa vya flat screen kama sijakosea!
 
kweli hela inatafutwa katika namna ambayo hata wakati wa kuitumia nafsi inaweza kukusuta.
 
Ona hilo lichawa linavyopapalika,watawafanya nini hao wanaomdhihaki malkia wa sheba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…