BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 2,943
- 4,707
Hiyo Crown Media Kwa mujibu wa Mange Kimambi ni mali ya mkwe wa rais Mchengerwa na mkewe Binti wa samiaMwanaharakati huru Ahmed Kombo ameonya Vijana kutoka mataifa jirani kuzungumzia vibaya Uongozi wa Tanzania pamoja na viongozi wake.
Kombo ameyasema hayo wakati akizungumza na Wanahabari huku akisisitiza kuwa Vijana kutoka Mataifa jirani wasipende kuingilia ‘Ugomvi wa Ndugu’.
View attachment 3345632