PreGE2025 Ahmed Kombo: Natoa onyo kwa vijana wanaomdhihaki Rais wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wale vih

Wale vijana anawaowakanya hawaelewi kiswahili, mwambieni aongee kiingereza ndio watamuelewa
 
Wale vih

Wale vijana anawaowakanya hawaelewi kiswahili, mwambieni aongee kiingereza ndio watamuelewa
 
kila siku hua nasema mikutane na huyo kijana ana kwa ana anayemtukana mama nimfundishe adabu
 
Another idiot. Atawafanya nini?
 
m
mbwa koko anabweka akiwa kwao
 
Hatimaye amepata upenyo wa kusikika..
 
Mikwara yake ni ya kipuuzi Sana..
Nimecheka kinyama. Yaani anatupigia makelele.
Hakuna rais ambaye kadhalilishwa kama samia kipindi hiki mitandaoni.. Mpaka inaumiza.. Badala ya kutafuta kiini cha tatizo na kutafuta suluhu ya kueleweka anapiga mikwara mbuzi

Ukiingia FB ni kejeli ni kashfa ni matusi, ni udhalilishaji 24/4 .. Mbaya zaidi hawaishii kwake tuu mpaka tusiohusika tunajumuishwa humo
 
Kudhihaki sio jambo jema kwa watu wote sio rais tu hata kwa watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…