PreGE2025 Ahmed Kombo: Natoa onyo kwa vijana wanaomdhihaki Rais wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ugomvi wa ndugu ndo kuuana kumbe?
yaani unaniua ukiulizwa unasema ni ndugu yangu.
 
Ushoga wakati mashoga wako humu nchini na mnaishi nao wengine mpaka kampeni zenu wanawapigia

Ova
 
Mpumbavu.
 
Taifa hili si Taifa hili sio mama zenu ,tuheshimiane, pumbavu
 
😂😂😂😂😂😂
 
Hao vijana wa kenya watuachie muziki wetu tuucheze wenyewe, wamezidi mno kunya na kuhara harufu ya ushuzi wao hatutaivumilia watuachie siasa zetu na viongozi wetu tunajua namna ya kuwakabili wakitenda uovu
 
Huyu ni mgonjwa wetu huku mirembe, ametoroka leo asubuhi. Tunaomba samahani maana bado hajapona. Tunafanya jitihada za kumkamata na kumrudisha wodini.
Ongezeni ulinzi aisee.. siku nyingine watasababisha maafa huku mtaani.
 
Si angeenda kuandamana kwennye ubalozi wa kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…