Hiyo Crown Media Kwa mujibu wa Mange Kimambi ni mali ya mkwe wa rais Mchengerwa na mkewe Binti wa samiaMwanaharakati huru Ahmed Kombo ameonya Vijana kutoka mataifa jirani kuzungumzia vibaya Uongozi wa Tanzania pamoja na viongozi wake.
Kombo ameyasema hayo wakati akizungumza na Wanahabari huku akisisitiza kuwa Vijana kutoka Mataifa jirani wasipende kuingilia ‘Ugomvi wa Ndugu’.
View attachment 3345632
😂😂😂😂😂Huko tiktok pamenoga, ukiwa na makasiriko yanaisha yote
Ntakuwa wa kwanza kuchanga mchango wa ununuzi wa kamba atakayoitumia kujitundikia huyo msukuleKm anaumia ajinyonge huyo kima😎
ni walewale kina musibaMwanaharakati huru Ahmed Kombo ameonya Vijana kutoka mataifa jirani kuzungumzia vibaya Uongozi wa Tanzania pamoja na viongozi wake.
Kombo ameyasema hayo wakati akizungumza na Wanahabari huku akisisitiza kuwa Vijana kutoka Mataifa jirani wasipende kuingilia ‘Ugomvi wa Ndugu’.
View attachment 3345632
Kwa hiyo hilo bwabwa linaunga mkono utekaji, ubakaji, mauaji..?!!!Ahmed Kombo: Natoa onyo kwa vijana wanaomdhihaki Rais wetu
Huu ugomvi wa ndugu nani mwanzisha ugomvi?Mwanaharakati huru Ahmed Kombo ameonya Vijana kutoka mataifa jirani kuzungumzia vibaya Uongozi wa Tanzania pamoja na viongozi wake.
Kombo ameyasema hayo wakati akizungumza na Wanahabari huku akisisitiza kuwa Vijana kutoka Mataifa jirani wasipende kuingilia ‘Ugomvi wa Ndugu’.
View attachment 3345632