Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
SADC moja hiyo inayowafanyia dharau hadi kukamata mindege yenu, mtajikomba komba huko lakini wanawaona ovyoo tu.
Sadc imekamata ndege ya Tanzania? Sadc inahusiana nini na Sheria za AK? Kama mtu ameshitaki na Mahakama ikatoa hukumu kwa mujibu wa Sheria zao kwamba mali ya xyz ikamatwe ulitaka sadc ifanye nini? Iingilie uamuzi wa Mahakama?
Mbona Kenya ilikamata mali za EAC pamoja na ndege zote kuzifanya Kenya Airways? Tena Kenya iliiba Mali za Jumuiya hata sisi na Uganda tulipaswa tukamate Kenya airways zikitua kwetu kwani zilikuwa ni Mali ya EA airways, lkn tulisamehe kuanza moja, hata hili pia tutavuka kwani tumevuka mengi.