Ahmed Madobe is re-elected. Kenya wins

Ahmed Madobe is re-elected. Kenya wins

SADC moja hiyo inayowafanyia dharau hadi kukamata mindege yenu, mtajikomba komba huko lakini wanawaona ovyoo tu.

Sadc imekamata ndege ya Tanzania? Sadc inahusiana nini na Sheria za AK? Kama mtu ameshitaki na Mahakama ikatoa hukumu kwa mujibu wa Sheria zao kwamba mali ya xyz ikamatwe ulitaka sadc ifanye nini? Iingilie uamuzi wa Mahakama?

Mbona Kenya ilikamata mali za EAC pamoja na ndege zote kuzifanya Kenya Airways? Tena Kenya iliiba Mali za Jumuiya hata sisi na Uganda tulipaswa tukamate Kenya airways zikitua kwetu kwani zilikuwa ni Mali ya EA airways, lkn tulisamehe kuanza moja, hata hili pia tutavuka kwani tumevuka mengi.
 
Hapa kwa SA hamutoboi ng'o
 
Hapa hamutoboi ng'o

Tumetoka mbali, Kenya walishika na kuiba ndege zetu + Ug zote zilizokuwa mali ya EAC na kugeuza Kenya Airways lkn tulianza moja hivyo hata hili tutaweza pia!
 
Mambo hayafanywi kwa kiki. Mambo yanafanywa kwa utaratibu wa sheria. Mkulima huyo anaifahamu sheria kushinda nchi nzima ya Tanzania. Ole wenu. Kidege kipya kizuri kina sura nzuri sasa kinapewa mkulima
 
Hehehehe!! Soma historia, mlikua mumefuria hamkua na jeuri ya kumiliki hata injini ya ndege, kwanza mlituingiza hasara pamoja na sie kuchukua ndege zote, hatukuweza kujilipa hasara yote, ikiwemo rubani wenu mmoja kuiba ndege na kukimbia nayo.
Ndio imekua historia yenu, sasa hiyo ni ndege ya pili kukamatwa, Mbeberu wa Kanada alikamata mkasema anawahujumu kisa makinikia. Sasa Msouth amekamata, mtasema kaburu.Labda na huko mtume rubani atoweke na hiyo ndege.

Halafu South Africa ndio SADC na SADC ndio South Africa, akipiga chafya mnaitika, anayo uwezo wa chochote.
 
AK ni Muzungu country, unafikiri Raisi anaweza kuingilia Mahakama nchi ya Muzungu? Muulize J.Zuma alienda, Mahakama ikiamua hakuna kitu Serikali itafanya kwa Muzungu country na nchi ya Muzungu inalinda na kutetea raia wake, huyo raia kashitaki nchi yake inamkingia kifua apate haki yake sasa ulitaka sadc ifanye nini? Huo sio uamuzi wa Kisiasa, Raisi wa AK hayuko JUU ya Sheria akicheza anaenda hata bila ya Uchaguzi kama Zuma.
 
Mambo hayafanywi kwa kiki. Mambo yanafanywa kwa utaratibu wa sheria. Mkulima huyo anaifahamu sheria kushinda nchi nzima ya Tanzania. Ole wenu. Kidege kipya kizuri kina sura nzuri sasa kinapewa mkulima

Sijui undani wake hata hiyo kesi siijui ndo kwanza nimeisikia, ila nijuavyo mimi mali kukamatwa huwa ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kila kitu kushindikana, sasa sijui walifikaje hapo, kwa maana ni lazima kuwe na onyo la mwisho kabla ya kuamua kukamata mali, kwani TZ ina mali nyingi AK kwa nini wakamate ndege tu? Isitoshe hii ni kesi ya zamani kwa nini sasa hivi? Utawala wa sasa hivi siyo uliochukuwa Mali za huyo Muzungu.

Binafsi naamini kabisa ni sabotage, kuna Watanzania wameshirikiana na huyo Mzungu na kumshauri cha kufanya, lkn hayo ni maoni yangu, isitoshe mimi siyo Mwanasheria.
 
AK ni Muzungu country, unafikiri Raisi anaweza kuingilia Mahakama nchi ya Muzungu? Muulize J.Zuma alienda, Mahakama ikiamua hakuna kitu Serikali itafanya kwa Muzungu country na nchi ya Muzungu inalinda na kutetea raia wake, huyo raia kashitaki nchi yake inamkingia kifua apate haki yake sasa ulitaka sadc ifanye nini? Huo sio uamuzi wa Kisiasa, Raisi wa AK hayuko JUU ya Sheria akicheza anaenda hata bila ya Uchaguzi kama Zuma.

Hehehe!! Sasa mbona huwa mnajikomba komba kwao mkijua ni kwa muzungu...
 
Kujikomba kivipi? AK ni rich country kuna tatizo gani kuwa karibu na rich country? Unajua investment ya AK hapa TZ? Isitoshe Watanzani tunanufaika pia mf. Viza free tunaweza kuingia na ktk AK bila ya shida, najua baadhi ya watu waliofaidika na hili wamefungua biashara, wengine wanasoma huko na kuboresha maisha yao, hivyo kama huko ni kujikomba kwangu ni poa tu kwani kuna manufaa pia, au ulitaka tujikombe wapi? Jubaland au Somalia?
 
Tumetoka mbali, Kenya walishika na kuiba ndege zetu + Ug zote zilizokuwa mali ya EAC na kugeuza Kenya Airways lkn tulianza moja hivyo hata hili tutaweza pia!
Soma historia, mlikataa kulipa deni, hela ambazo Kenya ilikuwa inalipa kwa niaba yenu, ili E.A.Airways iendelee na shughuli za biashara ya usafiri wa anga. Cha ajabu ni kwamba Kenya haikuweza ku'recover' deni hilo, hata baada ya kushikilia ndege zote hizo. Deni lilikuwa kubwa zaidi ya thamani ya ndege za E.A.Airways. Alafu mkaiba ndege moja na kuanza nayo shirika lenu, ambalo muda sio mrefu lilikufa kifo cha mende. KQ soldiers on, ya Mungu ni mengi.
 
Sadc imekamata ndege ya Tanzania? Sadc inahusiana nini na Sheria za AK? Kama mtu ameshitaki na Mahakama ikatoa hukumu kwa mujibu wa Sheria zao kwamba mali ya xyz ikamatwe ulitaka sadc ifanye nini? Iingilie uamuzi wa Mahakama?

Mbona Kenya ilikamata mali za EAC pamoja na ndege zote kuzifanya Kenya Airways? Tena Kenya iliiba Mali za Jumuiya hata sisi na Uganda tulipaswa tukamate Kenya airways zikitua kwetu kwani zilikuwa ni Mali ya EA airways, lkn tulisamehe kuanza moja, hata hili pia tutavuka kwani tumevuka mengi.
Pole kama nakuonea huruma,mjipe moyo mtayashinda majaribu.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Sijui undani wake hata hiyo kesi siijui ndo kwanza nimeisikia, ila nijuavyo mimi mali kukamatwa huwa ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kila kitu kushindikana, sasa sijui walifikaje hapo, kwa maana ni lazima kuwe na onyo la mwisho kabla ya kuamua kukamata mali, kwani TZ ina mali nyingi AK kwa nini wakamate ndege tu? Isitoshe hii ni kesi ya zamani kwa nini sasa hivi? Utawala wa sasa hivi siyo uliochukuwa Mali za huyo Muzungu.

Binafsi naamini kabisa ni sabotage, kuna Watanzania wameshirikiana na huyo Mzungu na kumshauri cha kufanya, lkn hayo ni maoni yangu, isitoshe mimi siyo Mwanasheria.
Leo umekua mhumble hadi unatia huruma Sana.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Hehehe!! Sasa mbona huwa mnajikomba komba kwao mkijua ni kwa muzungu...
Ukombozi tuliofanya SA siyo wa kumwondoa Kaburu bali kuondoa ubaguzi wa makaburu nitajie SA ilipata Uhuru lini kama unajua ? Sasa ujue makaburu bado wanachuki na tz siku zote hata itakuwa vigumu msauzi kusomeshwa masomo kuusu juhudi za tz kuikomboa SA maana itawafedhehesha wasauzi makaburu kwa sababu wao pia ni RAIA
 
Hamjasaidia SA kwa lolote. Pengine useme Zambia ndio ilisaidia SA
 
Back
Top Bottom