Ahmedy Ally jitokeze Tena mbele ya camera uwaeleze mashabiki/wadau wa mpira kuwa ligi ya Tanzania ni dhaifu Kama ulivyofanya msimu uliopita

Yupo sahihi,timu ya pili yupo klabu bingwa na anakiwasha wakati wa kwanza yupo shirikisho na anagongwa cap na wa pili,we unaonaje bloangu
 
Hakuna asiyejua kwamba Ubingwa wa Yanga ni wa makando kando AKA Blandas..

Toka aingie GSM amekuwa akitumia nguvu nyingi Sana kuhakikisha Yanga wanachukua Ubingwa Kwanza ni kununua mechi, kuhonga marefarii na kuahidi PESA Kwa timu ikishindana na Simba ikimfunga.

Simba ni timu ambayo kuanzia mashabiki na Viongozi si watu wa kulalamika lalamika tunakubali matokeo ya Kila Aina Kwa sababu tunajua uwezo na Level yetu. Msimu uliopita Simba ilimkaribia Yanga Point Viongozi wa Yanga wakaitisha Press na kutaka kususa, mara waende kusemea Kwa mama Samia mambo kibao yalizuka..

Juzi tumewaonyesha kidogo jinsi Mpira wa Haki unavyochezwa na level ya Simba sema Tu ni makosa kuifunga Yanga 2 Kwa sababu Kwa Yanga ya Juzi hata Horoya Wana ahueni
 
Yanga ilipo chukua kombe la Fa na ngao ya jamii mbele yako makando makando gani yaliyofanyika.
 
Weka evidence kuwa ushindi wa yanga ni makando kando.
 
Rejea marudio ya game ya Geita Vs Yanga NBC
Yanga Vs Azam hiyo ni mifano Tu michache ila ipo mingi sana
Mbona janja janja za Simba hujaorodhesha pamoja na zile penati mfululizo za magumashi mlizokuwa mnapewa
 
Na mtalalamika sana ubingwa wa mchongo, kutesa kwa zamu, Magu aliwabeba sana mkapendelewa sana kafa mnatapatapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamgusi ubingwa adi mama la mama amalize mda wake 2030 hukooo
 
Hatuwezi kulalamika nilishatangulia kusema mashabiki wa Simba na Viongozi wa Simba si watu wa kulalamika..

Mambo ya kusemea Kwa mama Samia na kutaka kususa hayo ni ya Yanga
 
Hatuwezi kulalamika nilishatangulia kusema mashabiki wa Simba na Viongozi wa Simba si watu wa kulalamika..

Mambo ya kusemea Kwa mama Samia na kutaka kususa hayo ni ya Yanga
Una uhakika na hicho unachokizungumza lakini
 
Hatuwezi kulalamika nilishatangulia kusema mashabiki wa Simba na Viongozi wa Simba si watu wa kulalamika..

Mambo ya kusemea Kwa mama Samia na kutaka kususa hayo ni ya Yanga
Mtalalamikaje wakati mnaamini sana uchawi kuliko chochote?
 
...njoo utueleze Tena kuwa "ligi yetu ni dhaifu"

Mimi naomba unieleze tena kama Djigui Diara ni best goalkeeper kama ulivyosema kwenye uzi huu hapa chini:

Best Goalkeeper- π——π—π—œπ—šπ—¨π—œ π——π—œπ—”π—₯π—₯𝗔
... niwakumbushe tu tar 16/04 mwamba atakuwepo...[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…