NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Huna tofauti na mbana pua mwenzenu [emoji41]Inatosha hiyo kukumbusha udhaifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna tofauti na mbana pua mwenzenu [emoji41]Inatosha hiyo kukumbusha udhaifu.
Alidhani bahati ina kujaga mara mbiliHivi hapa alikuwa anacheka au anashangaa?
Jibu kwa hoja acha hasira [emoji1787]Wewe ndiyo hujui mpira kabisa Bora kuficha upumbavu wako mbele za watu[emoji41]
Yanga ilipo chukua kombe la Fa na ngao ya jamii mbele yako makando makando gani yaliyofanyika.Hakuna asiyejua kwamba Ubingwa wa Yanga ni wa makando kando AKA Blandas..
Toka aingie GSM amekuwa akitumia nguvu nyingi Sana kuhakikisha Yanga wanachukua Ubingwa Kwanza ni kununua mechi, kuhonga marefarii na kuahidi PESA Kwa timu ikishindana na Simba ikimfunga.
Simba ni timu ambayo kuanzia mashabiki na Viongozi si watu wa kulalamika lalamika tunakubali matokeo ya Kila Aina Kwa sababu tunajua uwezo na Level yetu. Msimu uliopita Simba ilimkaribia Yanga Point Viongozi wa Yanga wakaitisha Press na kutaka kususa, mara waende kusemea Kwa mama Samia mambo kibao yalizuka..
Juzi tumewaonyesha kidogo jinsi Mpira wa Haki unavyochezwa na level ya Simba sema Tu ni makosa kuifunga Yanga 2 Kwa sababu Kwa Yanga ya Juzi hata Horoya Wana ahueni
Hoja yako ipo wapi niijbu???Alidhani bahati ina kujaga mara mbili
Weka evidence kuwa ushindi wa yanga ni makando kando.Hakuna asiyejua kwamba Ubingwa wa Yanga ni wa makando kando AKA Blandas..
Toka aingie GSM amekuwa akitumia nguvu nyingi Sana kuhakikisha Yanga wanachukua Ubingwa Kwanza ni kununua mechi, kuhonga marefarii na kuahidi PESA Kwa timu ikishindana na Simba ikimfunga.
Simba ni timu ambayo kuanzia mashabiki na Viongozi si watu wa kulalamika lalamika tunakubali matokeo ya Kila Aina Kwa sababu tunajua uwezo na Level yetu. Msimu uliopita Simba ilimkaribia Yanga Point Viongozi wa Yanga wakaitisha Press na kutaka kususa, mara waende kusemea Kwa mama Samia mambo kibao yalizuka..
Juzi tumewaonyesha kidogo jinsi Mpira wa Haki unavyochezwa na level ya Simba sema Tu ni makosa kuifunga Yanga 2 Kwa sababu Kwa Yanga ya Juzi hata Horoya Wana ahueni
Rejea marudio ya game ya Geita Vs Yanga NBCWeka evidence kuwa ushindi wa yanga ni makando kando.
Mbona janja janja za Simba hujaorodhesha pamoja na zile penati mfululizo za magumashi mlizokuwa mnapewaRejea marudio ya game ya Geita Vs Yanga NBC
Yanga Vs Azam hiyo ni mifano Tu michache ila ipo mingi sana
Na mtalalamika sana ubingwa wa mchongo, kutesa kwa zamu, Magu aliwabeba sana mkapendelewa sana kafa mnatapatapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamgusi ubingwa adi mama la mama amalize mda wake 2030 hukoooHakuna asiyejua kwamba Ubingwa wa Yanga ni wa makando kando AKA Blandas..
Toka aingie GSM amekuwa akitumia nguvu nyingi Sana kuhakikisha Yanga wanachukua Ubingwa Kwanza ni kununua mechi, kuhonga marefarii na kuahidi PESA Kwa timu ikishindana na Simba ikimfunga.
Simba ni timu ambayo kuanzia mashabiki na Viongozi si watu wa kulalamika lalamika tunakubali matokeo ya Kila Aina Kwa sababu tunajua uwezo na Level yetu. Msimu uliopita Simba ilimkaribia Yanga Point Viongozi wa Yanga wakaitisha Press na kutaka kususa, mara waende kusemea Kwa mama Samia mambo kibao yalizuka..
Juzi tumewaonyesha kidogo jinsi Mpira wa Haki unavyochezwa na level ya Simba sema Tu ni makosa kuifunga Yanga 2 Kwa sababu Kwa Yanga ya Juzi hata Horoya Wana ahueni
ZipiMbona janja janja za Simba hujaorodhesha pamoja na zile penati mfululizo za magumashi mlizokuwa mnapewa
Hatuwezi kulalamika nilishatangulia kusema mashabiki wa Simba na Viongozi wa Simba si watu wa kulalamika..Na mtalalamika sana ubingwa wa mchongo, kutesa kwa zamu, Magu aliwabeba sana mkapendelewa sana kafa mnatapatapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamgusi ubingwa adi mama la mama amalize mda wake 2030 hukooo
Kwa hiyo wewe unaona za yanga tu za Simba huoniZipi
Una uhakika na hicho unachokizungumza lakiniHatuwezi kulalamika nilishatangulia kusema mashabiki wa Simba na Viongozi wa Simba si watu wa kulalamika..
Mambo ya kusemea Kwa mama Samia na kutaka kususa hayo ni ya Yanga
Ndo mana nimekuliza zipi zitaje hapa kama Una evidenceKwa hiyo wewe unaona za yanga tu za Simba huoni
Mtalalamikaje wakati mnaamini sana uchawi kuliko chochote?Hatuwezi kulalamika nilishatangulia kusema mashabiki wa Simba na Viongozi wa Simba si watu wa kulalamika..
Mambo ya kusemea Kwa mama Samia na kutaka kususa hayo ni ya Yanga
Mbona nyie mliloga Juzi na mkapigwa [emoji23][emoji23][emoji23]Mtalalamikaje wakati mnaamini sana uchawi kuliko chochote?
Evidence.Mbona nyie mliloga Juzi na mkapigwa [emoji23][emoji23][emoji23]
...njoo utueleze Tena kuwa "ligi yetu ni dhaifu"
Best Goalkeeper- 𝗗𝗝𝗜𝗚𝗨𝗜 𝗗𝗜𝗔𝗥𝗥𝗔
... niwakumbushe tu tar 16/04 mwamba atakuwepo...[emoji1]