NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #41
Kwani Diara ana clean sheets ngapi??Mimi naomba unieleze tena kama Djigui Diara ni best goalkeeper kama ulivyosema kwenye uzi huu hapa chini:
Sawa mama watoto wake kwa kumuwakilisha vyema [emoji41]Hana muda mchafu labda wamtume kibu deee kibu deengaaa
Haya mauzinde umesikika kutoka hapo zenji au avic town na pacha ako ka.bwil?Sawa mama watoto wake kwa kumuwakilisha vyema [emoji41]
Alikuwa anacheka baada ya Chama kulala nyuma ya ukuta wakati anaelekea kupiga mpira wa adhabu..Hivi hapa alikuwa anacheka au anashangaa?
Hakuna noma afande wa zenji [emoji41]Haya mauzinde umesikika kutoka hapo zenji au avic town na pacha ako ka.bwil?
Kwa hiyo nyinyi makosa ya kibinadamu hayajaonekana kwenu au unaleta ushabiki maandaziPoint mlizochukua za dhuruma kutoka kwa Geita , Azam na magoli ya manywele kupewa na makipa et kwa makosa ya kibinadamu + marefa wa michongo ndiyo udhaifu wenyewe huo unaozungumziwa . Kauli ya ahamed bado haijafutika iko pale pale.
Huchukui ubingwaHongera sana kwa kuchukua kombe[emoji41]
Hivi kumbe nabi anajua kiswahili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga ilipo chukua kombe la Fa na ngao ya jamii mbele yako makando makando gani yaliyofanyika.
Ushahidi upo mwingi tu wewe chura mechi na Geita Gold mlipewa penati ya mchongo baada ya mambo kuwa magumu GSM akatuma bahasha chap, gem na kagera sugar pia mlibebwa baada ya bahasha, gem na ruvu mayele kashika mpira kwenye box la ruvu kapewa penat, vinajulikana mbonaWeka evidence kuwa ushindi wa yanga ni makando kando.
Acha kuruka viunzi jibu hoja ilikuaje mkapewa penati ya mchongo Kwa Geita goldMbona janja janja za Simba hujaorodhesha pamoja na zile penati mfululizo za magumashi mlizokuwa mnapewa
Ona hili zuzu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magu ni refa? Mama ni refa? Kweli mpira umevamiwa na vilazaNa mtalalamika sana ubingwa wa mchongo, kutesa kwa zamu, Magu aliwabeba sana mkapendelewa sana kafa mnatapatapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamgusi ubingwa adi mama la mama amalize mda wake 2030 hukooo
Hivi na juzi mliruka ukuta[emoji23][emoji23][emoji23] ila bado mkagongwaEvidence.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani Diara ana clean sheets ngapi??
Kama utalijua Hilo basi ndiyo uthibitisho wako.
Huna hoja aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2593831
Ungekuwa muungwana ungetaja na mechi ambazo Simba tumebebwa! Ukiandika kishabiki hivi husaidii soka letu!Makosa ya marefa yapo katika mechi nyingi sana labda wewe umeamua kuiangalia yanga pekee!Point mlizochukua za dhuruma kutoka kwa Geita , Azam na magoli ya manywele kupewa na makipa et kwa makosa ya kibinadamu + marefa wa michongo ndiyo udhaifu wenyewe huo unaozungumziwa . Kauli ya ahamed bado haijafutika iko pale pale.