Ahmedy Ally jitokeze Tena mbele ya camera uwaeleze mashabiki/wadau wa mpira kuwa ligi ya Tanzania ni dhaifu Kama ulivyofanya msimu uliopita

Ahmedy Ally jitokeze Tena mbele ya camera uwaeleze mashabiki/wadau wa mpira kuwa ligi ya Tanzania ni dhaifu Kama ulivyofanya msimu uliopita

Mimi naomba unieleze tena kama Djigui Diara ni best goalkeeper kama ulivyosema kwenye uzi huu hapa chini:
Kwani Diara ana clean sheets ngapi??

Kama utalijua Hilo basi ndiyo uthibitisho wako.
 
[emoji16]
1681879888019_1.jpg
 
Point mlizochukua za dhuruma kutoka kwa Geita , Azam na magoli ya manywele kupewa na makipa et kwa makosa ya kibinadamu + marefa wa michongo ndiyo udhaifu wenyewe huo unaozungumziwa . Kauli ya ahamed bado haijafutika iko pale pale.
 
Kwa hiyo nyinyi makosa ya kibinadamu hayajaonekana kwenu au unaleta ushabiki maandazi
 
Weka evidence kuwa ushindi wa yanga ni makando kando.
Ushahidi upo mwingi tu wewe chura mechi na Geita Gold mlipewa penati ya mchongo baada ya mambo kuwa magumu GSM akatuma bahasha chap, gem na kagera sugar pia mlibebwa baada ya bahasha, gem na ruvu mayele kashika mpira kwenye box la ruvu kapewa penat, vinajulikana mbona
 
Na mtalalamika sana ubingwa wa mchongo, kutesa kwa zamu, Magu aliwabeba sana mkapendelewa sana kafa mnatapatapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamgusi ubingwa adi mama la mama amalize mda wake 2030 hukooo
Ona hili zuzu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magu ni refa? Mama ni refa? Kweli mpira umevamiwa na vilaza
 
Point mlizochukua za dhuruma kutoka kwa Geita , Azam na magoli ya manywele kupewa na makipa et kwa makosa ya kibinadamu + marefa wa michongo ndiyo udhaifu wenyewe huo unaozungumziwa . Kauli ya ahamed bado haijafutika iko pale pale.
Ungekuwa muungwana ungetaja na mechi ambazo Simba tumebebwa! Ukiandika kishabiki hivi husaidii soka letu!Makosa ya marefa yapo katika mechi nyingi sana labda wewe umeamua kuiangalia yanga pekee!
 
Back
Top Bottom